TABORA HOTEL


TABORA HOTEL. ONE OF THE OLDEST AND FABULOUS HOTEL IN TABORA. ONCE OWNED BY THE TANZANIA RAILWAYS CORPORATION AND NOW PRIVATELY OWNED AND MANAGED. DURING 1970-1980s THE PLACE WAS A POPULAR GROUND FOR BEAK DANCING

Hoteli ya Tabora au Maarufu kama Tabora Hoteli ni moja kati ya Hoteli za mwanzo kujengwa na kutoa huduma bora za daraja la juu kwa mkoa wa Tabora. Ni hoteli ya Ki-historia. Awali Hoteli hii ilikuwa inamilikiwa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa miaka mingi kabla ya kuuzwa kwa wamiliki Binafsi ambao bado wanaiendesha kwa ubora.
Uyui inaikumbuka hoteli hii ambayo iko karibu na Shule ya Sekondari ya Kazima kuwa ni miongoni mwa sehemu chache za burudani zilizokuwa zinatoa burudani mkoa hapo

Advertisements

3 Responses to “TABORA HOTEL”

  1. futurequest web hosting review Says:

    Hello great family member! Document wish to tell you how the post is normally amazing, nice developed and additionally include approximately all of the important infos. I would want to peer extra reports something like this.

  2. JB Says:

    NIMECHEZA SANA MASHINDANO NA MSHINDI WANGU YUSUF MASOLI. EDO R I P. WE MISS U DEARLY!

  3. mariam Says:

    nahitaji kujua bei ili nifanye reservation nadhani itakuwa jpili ya trh 8,


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: