MAN HELD FOR “SELLING” OWN WIFE’S BODY PARTS

A Mwamala villager in Nzega district, Tabora region, Tano Sitta Katinda, has been arrested near Kahama’s CRDB branch for allegedly trying to sell his wife’s body parts.

Reports from Kahama said they included the head, breasts and private parts. The suspect tried to sell his wife’s body parts to police officers on guard at the bank, claiming it was ‘pork’.

Shinyanga regional police commander ACP Diwani Athumani told journalists by phone that Katinda was arrested yesterday at 09:00am.

The suspect arrived at the bank carrying a plastic bag in which he wrapped the body parts.

The RPC said when he showed the ‘meat’ to the police officers, they discovered he had a human head and other organs in the bag.

He also said before getting at the CRDB bank premises, he was seen at the bus stand and close to Kahama Chama Cha Mapinduzi (CCM) headquarters and at NMB Kahama branch premises trying to look for customers.

He said the people advised him to go and sell his ‘meat’ to the police officers on guard at either CRDB or NMB banks.

“When he got at the NMB branch, he told the police officers he was selling pork. The police officers told him that they were Muslims and directed him to go to the police officers at the CRDB branch,” he said.

Commander Athumani, who is also Assistant Commissioner of Police, said after he arrived at the CRDB bank he showed his bag to them to see the meat and after they found it was not pork but human body parts they arrested him.

According to the RPC, when he was questioned he confessed that he was carrying his wife’s body parts by the name Kabula Luziga (18) from Itobo in Nzega district, Tabora region.

He said after he was questioned further, he confessed he had killed his wife a night before after she had fallen asleep.

“When being interrogated, the suspect said he heard from one radio station based in Kahama that such organs were needed and there were customers ready to buy them and that was when he killed his wife although when selling the body parts he referred to them as ‘pork’,” he explained.

He said the police were still investigating the matter including trying to find out whether the suspect was of sound mind or not.
SOURCE: THE GUARDIAN visit http://www.ippmedia.com

Advertisements

THE NEW OUTLOOK OF ORION TABORA HOTEL


THE OLD TABORA HOTEL WITH NEW OUTLOOK UNDER THE NEW ADMINISTRATION. NOW IS KNOWN AS ORION TABORA HOTEL.

Tabora hotel is located at Cheyo area. A stepping stone distance from the Central Railways station and so close to the Kazima Secondary School. A very pleasant place to be.

MZEE JOHN LUWANDA AFARIKI DUNIA

Mtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania John Luwanda amefariki dunia Muhimbili jana mchana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.Mtangazaji huyo wa zamani ambaye alistaafu kazi hiyo mwanzoni mwa miaka ya 1990 alikuwa amelazwa hospitali ya Muhimbili akisumbuliwa na kisukari huku akifanyiwa uchunguzi wakansa ya kibofu cha mkojo.Madaktari walimwambia kwamba baba yake alikufa kutokana na ugonjwa wa uti wa mgongo.Luwanda ambaye atakumbukwa zaidi na watu wa vikundi vya sanaa kwa uandalizi wa michezo ya kuigiza ya radio, mara baada ya kustaafu alikuwa anaishi katika kijiji cha Goba akilima bustani na kufuga.Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Gobakijijini na anatarajiwa kuzikwa Jumamosi wiki hii.Luwanda ameacha mke watoto 6 na wajukuu 20.

MZEE JOHN LUANDA KWENYE KITI


Uyui inatoa pole nyingi sana kwa Familia ya Mzee Luanda na kumuomba Mwenyezimungu awape nguvu na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihidimiwe Amina.
Uyui

MESSAGE FROM MUSTAFA DOSSAJI

MUSTAFA DOSSAJI Says:

Hello all ex Uyui students,
Just found the site and it was thrilling to read all the postings being a fellow H.R and Uyui student 69′ to 72′.
My name is Mustafa F Dossaji but was known by my nickname Aggi.
I wiil always be grateful to Mr. Khandubhai for making me a better maths student. Last i met him was in Dar where i had moved away to from Tabora.
Im presently residing in Atlanta USA since 2000. It was nice to hear from all the people who I knew .Ajay and Seema Chawda, Fupi, Adolf, Tabrez,Alnashir Moledina,Dilip Patel, Manoj Dawda and lastly to Shoba and Prabodh Shukla who taught us there

Thank you Mustafa Dossaji. The HR school is now known as Mwenge Primary School.
Uyui

THE TOP 100 TABORA GREATEST FIGURES

THE TOP 100 TABORA GREATEST FIGURES
Wazee 100 wa Mkoa wa Tabora ambao historia haitawasahau, lakini wengine wametangulia mbele ya haki bila ya kuandikwa mahali popote. Tunajisikia fahari na faraja kubwa kuwakumbuka wazee hawa (orodha bado haijatimia) ambao walikuwa na upeo mpana, hekima kubwa, uwezo wa kifikira na kuwa tegemeo kubwa la Jamii.
1.Hajj Sheikh Rashid
2.Sheikh Ally Abeid Moza
3.Bilal Rehani waikela
4.Mchungaji Paulo Misigalo
5.Germano Pacha
6.Bilal Mshoro
7.Hamisi nyanya
8.Chamng’anda Usingizi
9.Fimbo Mtwana
10.Rashidi Mussa
11.Mwinyi Hatibu Hemedi
12.Ramadhani Nassibu-Bedui
13.Abdallah Kivuruga
14.Maulid kivuruga
15.Maalim Nasib Albaruan (Tandiko)
16.Hamisi wabeba
17.Issa Kibira
18.Rajabu Kanyama
19.Mohammed mangiringiri
20.Fundi mhindi
21.Nyange Binti Chande
22.Abedi Kazimoto
23.Jaffar Iddi Songoro
24.Abdallah saidi kasongo(Zani)
25.Iddi Said Ludete
26. Fundi Rumaza (Tura)
27. Ramadhani Choma choma
28.Jumanne Biasi
29. Ramadhani Tabwe
30.Rajab Tambwe (TAMOTA)
31.Swedi (Shaushi)
32.Kimwaga (mtoa adhana)
33.Khalifa Mohammed
34.Ismail Farijallah (Sandawatu)
35.Hassan Rajab Waitume
36.Binti Nyenye
37.Sheik (Mwalimu) Abubakar Mwilima
38.Salum Abdallah (Kiko Kids)
39.Abdul thabit Mohammed
40.Seif Hamdan Seif
41. Padre Peter (Kanisa la RC-Makokola)
42. Kandubhai N.R. Patel (The Head Master of Uyui Secondary School 1960s-1980s)
43. Haridas Bhai
44. Salum Minsogalya Mpalaye
45. Kashindye Hamsini
46. Omar Mwinyipembe
47. Ally Anam
48. Sheikh Omar Mavumbi
49. Rehani Zubeir Malingo (Mawiti- Tabora)
50. Kombo Masai (Mawiti)
51. Hamisi Magurudumu (Isevya)
52. Mzee Mabula (Mabula Guest House-Stendi)
53. R.H. Patel
54. Sheikh Abdallah Said Fundikira (The Chief of Unyanyembe).
55. Ahmed Remtullah
56. Bi Sheikh Dawah
57. Maalim Ahmada Salim
58. Alhaj Nassoro Khamis (Mjandali)
59. Juma Hussein Kayoka
60. Askofu Mihayo
61. Ally Mashango (Member of Parliament 1970s)
62. Mwana Isungu
63. Shem Ibrahim Karenga
64. Juma Maganga Kanbamba (Isevya)
65. Asman (Asman Store) at the Junction of Mwanza road and Ujiji Street.
66. Maalim Mtoro
67. Mzee Agustino Kusaga

68.  Thabit Saburi

Uyui inakaribisha majina zaidi na sifa zao.

Mzee Bomu wa Zinduka afariki dunia

Msanii mkongwe wa fani ya ngoma, maigizo na filamu nchini Abdallah Chembe Namulya (53) amefariki dunia.

Taarifa kutoka kwa jamaa wa karibu na marehemu Bw Hugo Martin Wagoma imesema kuwa marehemu Chembe amefariki dunia nyumbani kwakwe Tandale usiku wa kuamkia leo. Hata hivyo chanzo cha umauti wake hakikuweza kujulikana mara moja.

Marehemu Chembe maarufu kama Mzee Bomu alinyakulia umaarufu mkubwa katika sanaa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupiga ngoma, kuimba, kufanya maigizo na kucheza filamu.

Kwa wasikilizaji wa kipindi cha Redio cha Zinduka kinachorushwa na TBC Taifa, Jina la Mzee Bomu si jina geni kwao. Katika filamu Mzee Bomu amejinyakulia umaarufu katika filamu ya HIFADHI yako na Joy zilizochezwa miaka ya 1990 chini ya Mtunzi mahiri wa filamu Hammie Rajab.

Katika uhai wake marehemu alifanya kazi katika kikundi cha Afro Dansi 1989 akiwa na Mzee Small wa Ngamba na baadaye alijiunga na Muungano ya Nobert Chenga kabla ya kufanya kazi na Simba theatre Group kwa muda na baadaye Kuwa miongoni wa waasisi wa Kikundi cha Ten Best cha jijini.

Kikundi cha Ten best kilitumika sana na Shirika la NSSF wakati wanabadili mfumo wao kutoka NPF huku Marehemu Mzee Bomu akichukua nafasi kubwa kama muelimishaji umma. Kikundi hicho kwa sasa kinafanya maonyesho mara moja moja na Bendi ya Muziki ya Msondo hapo Amana.

Kwa mujibu wa Hugo, Marehemu Mzee Bomu anatazamia kuzikwa kesho maeneo ya Vituka jijini.

Uyui inatoa pole nyingi kwa Familia ya marehemu Mzee Abdallah Chembe, ndugu Jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.