THE TOP 100 TABORA GREATEST FIGURES


THE TOP 100 TABORA GREATEST FIGURES
Wazee 100 wa Mkoa wa Tabora ambao historia haitawasahau, lakini wengine wametangulia mbele ya haki bila ya kuandikwa mahali popote. Tunajisikia fahari na faraja kubwa kuwakumbuka wazee hawa (orodha bado haijatimia) ambao walikuwa na upeo mpana, hekima kubwa, uwezo wa kifikira na kuwa tegemeo kubwa la Jamii.
1.Hajj Sheikh Rashid
2.Sheikh Ally Abeid Moza
3.Bilal Rehani waikela
4.Mchungaji Paulo Misigalo
5.Germano Pacha
6.Bilal Mshoro
7.Hamisi nyanya
8.Chamng’anda Usingizi
9.Fimbo Mtwana
10.Rashidi Mussa
11.Mwinyi Hatibu Hemedi
12.Ramadhani Nassibu-Bedui
13.Abdallah Kivuruga
14.Maulid kivuruga
15.Maalim Nasib Albaruan (Tandiko)
16.Hamisi wabeba
17.Issa Kibira
18.Rajabu Kanyama
19.Mohammed mangiringiri
20.Fundi mhindi
21.Nyange Binti Chande
22.Abedi Kazimoto
23.Jaffar Iddi Songoro
24.Abdallah saidi kasongo(Zani)
25.Iddi Said Ludete
26. Fundi Rumaza (Tura)
27. Ramadhani Choma choma
28.Jumanne Biasi
29. Ramadhani Tabwe
30.Rajab Tambwe (TAMOTA)
31.Swedi (Shaushi)
32.Kimwaga (mtoa adhana)
33.Khalifa Mohammed
34.Ismail Farijallah (Sandawatu)
35.Hassan Rajab Waitume
36.Binti Nyenye
37.Sheik (Mwalimu) Abubakar Mwilima
38.Salum Abdallah (Kiko Kids)
39.Abdul thabit Mohammed
40.Seif Hamdan Seif
41. Padre Peter (Kanisa la RC-Makokola)
42. Kandubhai N.R. Patel (The Head Master of Uyui Secondary School 1960s-1980s)
43. Haridas Bhai
44. Salum Minsogalya Mpalaye
45. Kashindye Hamsini
46. Omar Mwinyipembe
47. Ally Anam
48. Sheikh Omar Mavumbi
49. Rehani Zubeir Malingo (Mawiti- Tabora)
50. Kombo Masai (Mawiti)
51. Hamisi Magurudumu (Isevya)
52. Mzee Mabula (Mabula Guest House-Stendi)
53. R.H. Patel
54. Sheikh Abdallah Said Fundikira (The Chief of Unyanyembe).
55. Ahmed Remtullah
56. Bi Sheikh Dawah
57. Maalim Ahmada Salim
58. Alhaj Nassoro Khamis (Mjandali)
59. Juma Hussein Kayoka
60. Askofu Mihayo
61. Ally Mashango (Member of Parliament 1970s)
62. Mwana Isungu
63. Shem Ibrahim Karenga
64. Juma Maganga Kanbamba (Isevya)
65. Asman (Asman Store) at the Junction of Mwanza road and Ujiji Street.
66. Maalim Mtoro
67. Mzee Agustino Kusaga

68.  Thabit Saburi

Uyui inakaribisha majina zaidi na sifa zao.

Advertisements

23 Responses to “THE TOP 100 TABORA GREATEST FIGURES”

 1. Simba Abdallah S. Fundikira Says:

  My name is Simba Abdallah Fundikira.I wish to add one name of a person who used to own and run buses to Sikonge in the 1960s or perhaps even earlier.The late Thabibit Saburi (R.I.P).

 2. Simba Abdallah S. Fundikira Says:

  Hii blog imenipa hamasa kubwa kuwakumbuka na kuwatambua wazee wetu mashuhuri.Hali kadhalika naona pia mnajitahidi kuielezea historia ya Tabora vizuri zaidi ya jinsi inavyoelezewa kwenye madaftari ya dola.
  Nawashukuru sana kwa kazi nzuri mnayoifanya maana la sivyo histori ya kweli ya Tabora itapotea.

 3. Dr. Abdulghany Mohamed, Ottawa, Canada Says:

  Shukrani kubwa kwa kuwaorodhesha wazee wetu wa Tabora.

  Naomba uongeze majina mawili:
  (1) Sheikh Mzee Mkubwa wa Gongoni (kiongozi was Msikiti wa Ijumaa,ambao ulikuja kuongozwa na Sheikh Ali Abedi Mozi baada ya Sheikh Mzee Mkubwa kufariki dunia);
  (2) Sheikh Mzee Fereji Mdogo wa Ngambo (ambaye alikuwa kiongozi wa msikiti wa Biti Rehani Kitete Street).

  Nawafahamu wote hao kwani ni babu zangu.

 4. Georgejinasa@ yahoo.co.uk Says:

  Mmemsahau mheshimiwa Samweli Sita, ibrahimu Lipumba na profesa Kapuyag

 5. MNUBI MIKIDADI BAGUMA Says:

  sheikh MAVUMBI BIN ALLY nasio OMARY MAVUMBI. Ongeza pia sheikh MIKIDADI MNUBI,ABDALLAH TAMBWE,MWAMBA CHANDE,MARIAM KIBIRA,

 6. Anonymous Says:

  jamani mungu awapumzishe kwa amani wazee wetu

 7. Anonymous Says:

  Where is my Babu? Mzee Vincent Nyampala Maswa?

 8. abbu omar abubakar Says:

  ,

  50,069 VISITORS
  Mimi naitwa Abbu Omar,NI mwanamuziki wa kitanzania niishie Tokyo,Japan,Nina asili @pia yaTabora,Babu yangu mzaa mama ni Mmanyema bibi yangu mzaa mama ni Mnyamwezi,Baba yetu alitoka kwao kusini akiwa kijana na kuloea Tabora pia kumuoa mama yetu nasi tukazaliwa Tabora.Nilisoma shule ya msingi Town primary school( Town school) kuanzia 1970, dada zangu walikuwa wakisoma Hr pri.school enzi hizo.Nikasoma sekondari Songea boys high school,Maisha ya muziki niliyaanza na Uda jazz,dar,na kuhamia nairobi Kenya 1981,huko nilipigia benndi maarufu ya SImba Wanyika kwa miaka 10 na 1992 nikahamia Tokyo,Japan hadi sasa nipo huku.mImi ni mjukuu wa marehemu mzee Swedi Juma wa Gongoni,mjini Tabora,Mzee huyu nae tunaweza kusema alikuwa maarufu maana alikuwa referee mkubwa Tabora miakaya 68,69,hadi 70,kwa wapenzi wa soka wa enzi hizo watamkumbuka,pia alikuwa referee mkali sana.Watu wengine maarufu Tabora ambao walikuwa ktk ukoo wetu ni marehem mjomba wetu Athmani Tembo( Baba nyota) yeye alikuwa mpiga solo wa Tabora Jazz kabla hata ya Shem Karenga kuja Tabora toka kwao Kigoma.Mjomba wangu mwingine mzee Juma Swedi ndio alikuwa mmiliki wa ofisi au palipokuwa na club ya Sungura sports club,fundi street,Wazee wengine mashuhuri waliokuwa karibu na familia yetu ni mzee Iddi Shaha,Mzee Iddi Pazi,Mafundi cherehani maarufu mtaa wa ngoma Mzee Hassan Famba na Hamisi Mbuli, askari polisi maarufu mjini Tabora enzi hizo Zakaria.huyu alijulikana ukali wake hasa ktk mechi za mpira wa miguu.Mzee Shabani Kilima,Askofu KIsanji wa Moravian church.Familia ya akina Rage,Mama Rage na tanzania hotel.MImi nilizaliwa hospitali ya KItete na nilikulia kona ya mtaa wa usagara na ngoma street nyumba yetu kubwa ya mawe, ilitazamana na Amani hoteli,kulikuwa na vinyozi,baadae ikawa Ngorongoro hoteli,baadae ikauziwa mchaga akafanya baa,hapo ndipo kwetu.hizi habari sana sana ni za enzi za utoto wangu miaka ya 69 kuja mwisho wa 70’s ILa baadae tulihama na mzee kwa ajili ya yeye kupata transfer.Wajomba na bibi bado wako Tabora.

  • abbu omar abubakar Says:

   PIa nilimsahau mzee Ismail Mtende na Mzee Shabani Mramba.wafanya biashara wenye maduka maarufu sana enzi zile.Hairy,Somji,Haku na Ali Makubeli.Mj Juma omba wangu Khalid Iddi na rafiki yake Maulid pia walisoma Uyui sec.school miaka ya 1967,68,69 hadi 70.

  • uyui Says:

   Abbu umetukumbusha mbali saana. Habari hii tutaiweka kwenye ukurasa wa mbele ili watu wengi wanufaike na hifadhi ya historia yako. Endelea kutuwakilisha huko uliko. Uyui

   • abbu omar abubakar Says:

    Asante sana wana Uyui,tuzidi kuwasiliana ili tuweze kukumbushana mambo ya mji wetu maridhawa uliojaa historia muhimu wa Tabora,NItazidi kutoa mchango wangu pindi nitakapokumbuka baadhi ya mambo niliyosahau kuyataja,maana ni miaka mingi sasa imepita.

   • uyui Says:

    Abuu tuma picha kama unapenda, tutaziweka. Angalia pia tumeweka habari yako kwenye ukurasa wetu wa mbele. Umetukumbusha mbali sana kuhusu Afande Zakaria uwanja wa vita.

   • abbu omar abubakar Says:

    Kwanza nimefurahi sana kwa kuweka story yangu hapo juu pamaoja na picha,picha hii tulipiga pamoja na ankal Michuzi pamoja na mjomba Khamsini,Feb. 2010,wakati nilipopita Dar kwenda ku perform na bendi yetu ya Tokyo ktk tamasha la Sauti za Busara Zanzibar.huyu Unk.Khamsini pia ni mzaliwa wa Tabora na alijuana na marehemu babu Mzee Swedi,pia alikuwa mcheza mpira enzi zile Tabora.najaribu kutuma picha zangu na zinaonekana kukwama kama mtaweza kutumia picha zangu toka ktk facebook account yangu zitumieni tu,Bendi yetu huku Japan inaitwa The Tanzanite band ( Tokyo) tupo na akina Fresh Jumbe.ktk facebook natumia jina Abbu Omar.

   • uyui Says:

    asante tumia e-mail magangaferuzi@gmail.com zitafika tuma chache chache kwa awamu. Tunakushukuru sana.

 9. zuberi Says:

  dah umenikumbusha mbali sana,huyo namba 49,ni babu yangu,lakini kuna wazee kama,khamisi wampa manyema,chamakope gongoni.tandiko,mzee chamakope national,mussa belenja nk

 10. Sangano Seif {Uyui Sec school 1990) Says:

  kuna mzee maarufu sana, marehamu Mzee Mussa Berenge alimiliki mabasi ya “Unyamwezi Transport Company-UTCO, pia Hotel maarufu ” Berenja Hotel” huyu alikuwa simba damu.Anastahili kuongezwa kwenye orodha ya “best 100”

 11. Anonymous Says:

  Je tukituma picha za hao watu maarufu mtaziweka? mm ni mtoto wa mzee Abdullah saidi kassongo (zanni) na nilikua naona kunaumuhimu wa kuona picha zao ili vizazi vyetu pia japo waone sura zao. nimekubaliana na majina hayo yote lakini nimeona jina la mzee Mtahiwe kanyeye limesahaulika na mwalimi mwamba mbugani.

  • uyui Says:

   Tunakushukuru lete picha zao tutaweka. Ni kweli Tabora inao Wazee wengi Maarufu na wenye Hekima kama Mzee Mutahiwa, nakumbuka mwanaye Mmoja akiitwa Seligei. Mwalimu Mwamba anakumbukwa sasa kwani ndio Baba yao na kina Said Mwamba (Kizota), Nassoro na Ali Mwamba

 12. Amon Mkoga Says:

  wapi Balozi Kasanga Tumbo,Mtemi Myamizi wa Kalunde,

 13. Makala katembo Says:

  Ebwana mmetaja wa2 wote but mme sahau ibrahi katembo wa isevya so anatakiwa kuingia kwenye wazee wasio saulika tabora

 14. Makala katembo Says:

  e bwana usipime joombaa coz mboka ndoo kila kitu.

 15. Kusoga Says:

  Augustine Kusoga,manyema na rufita street no 1 karibu na msikiti wa manyema
  Hassan Jiwa Mohamed,S.M.Said

  • uyui Says:

   Thats very correct, we shall update the list


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: