TABORA BOYS ON TOP TEN FORM VI RESULTS

 

 

 

 

sourc: Tanzania Daima 29 April, 2011

FORM VI RESULTS- TABORA

UYUI SECONDARY SCHOOL
DIVISION 1         (8)
DIVISION 11      (37)
DIVISION III      (90)
DIVISION IV       (11)
FLD                       (2)

TABORA BOYS
DIVISION 1          (59)
DIVISION 11        (38)
DIVISION III       (39)
DIVISION IV          (0)
FLD                         (0)

TABORA GIRLS
DIVISION 1              (8)
DIVISION II            (14)
DIVISION III          (30)
DIVISION IV            (6)
FLD                            (0)

HAMMIE NA FILAMU YA SIMU YA KIFO


Marehemu Mzee Hammie Rajab wakati wa utengenezaji wa filamu ya Simu ya Kifo huko mkoani Tabora. Hapa akitoa maelekezo kwa mmoja wa washiriki.

HAMMIE RAJAB: GUIDING CREWS IN SIMU YA KIFO

HAMMIE IN SIMU YA KIFO REHARSAL

Marehemu Hammie Rajab akitoa maelekezo kwa baadhi ya wasaniii wakati wa utengenezaji wa filamu ya simu ya Kifo mjini Tabora. Executive producer wa filamu hiyo ni Doroth Kipeja. Ni filamu nzuri inayotokana na kitabu cha Simu ya Kifo kilichotungwa na Mzee Faraji Katalambula.

HAMMIE RAJAB: A HOMAGE

WATATU BORA (WABO)


They used to call themselves WABO (Watatu Bora) means the best three. from left to right is the Late Mzee Hammie Rajab, Dada Irene Sanga and Syllone Malalo. This picture was captured in 2008 at the Syllone’s Office at the city centre when they were finalizing Kolelo film.

NEWS ALERT: HAMMIE RAJAB AFARIKI DUNIA

HAMMIE RAJAB AFARIKI DUNIA


Mtunzi mahiri wa hadithi, mwandishi wa vitabu na muongozaji wa filamu Hammie Rajab (63) amefariki dunia.
Taarifa zilizoifikia Uyui muda mfupi leo hii, zimesema kuwa Marehemu Hammie amefariki jana usiku Dar es salaam na kwamba anatazamiwa kuzikwa nyumbani kwao Morogoro leo.

Marehemu Hammie alikuwa ni mtengenezaji filamu maarufu, mwandishi wa matangazo ya biashara na script za sinema, mwandishi wa vitabu na hadithi na Fundi wa magari (kazi ambayo wengi hawakupata kuifahamu).
Marehemu Hammie alipata elimu yake Morogoro na Nchini Kenya katika Mji wa Mombasa katika Taasisi ya MIOME ambako alifuzu na kutunikiwa cheti cha daraja la kwanza katika Motor Vehcle Technology. baada ya kufaulu vizuri mtihani wa united of Lancashire and Ceshire Insitutions(ULCI).

Hammmie aliajiriwa katika iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki upande wa Reli na Bandari kama fundi makanika, kazi aliyoifanya kwa miaka 7.

Hammie alijiunga katika Kampuni ya Filamu ya Tanzania (TFC) 1974 wakati huo wa kina Marehemu Elly Mboto kama Muongozaji wa filamu baada ya kupata mafunzo yaliyosimamiwa na Meneja uzalishaji wa kidenish Mr Tork Haxtausen.
Baadaye alienda nchini Kenya kwa ajili ya mafunzo zaidi. Baadhi ya kazi za mwazo alizozifanya ni pamoja na
BENKI YAKO (NBC)
MISITU NI UHAI( FORESTRY)
JIFUNZE KUSOMA
WATOTO WANA HAKI (UMATI)
USAWA (UMATI)
Marehemu HAMMIE ameandika vitabu vingi na script nyingi za filamu. Ameacha Mke na watoto.
Uyui inatoa pole nyingi kwa ndugu na familia.
Inna Lilahi wa Inna Ilayhi Rajeuun
.

WELCOME ON BOARD AT TABORA AIRPORT

TABORA AIR PORT
One of the Airways company Precision Air serving Tabora. Tabora can be accessed by road, rail and by air. Here is one the aeroplan serving customers to and from this beautfil historical town of Tabora.
Uyui received an information that, for over a month now the air services to Tabora and Kigoma has been temporary suspended and passengers to these destination are adivised to go to Ibadakuli- Shyinyanga.

TABORA MARKET: SOKO LA MJI WA TABORA


This is the Tabora Market. it was built in 1970s. The market is at the town centre near the tax stand and old bus stand. the Market is just adjacent to the Mnara wa kura tatu, a momument which was built to commemorate the bold decision made by TANU in 1957 where they decided to go for three ballots in the struggle towards independence.
The market is full of natural food of different varieties including natural vegitables and is surrounded by shops where one can buy necessay commodities for domestic and other usage.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.