JENGO LA MIAKA 98 TABORA


JENGO LENYE MIAKA 98 A BUILDING AGED 98 YEARS NEAR UYUI SEC

We had talked about this buiding in our previous posts but with little details. This Building was buit in 1913 and now its 98 years old. it is at the Junction or roud abaout of Uyui secondary, HR (Mwenge Primary school), Teachers College (TTC), Kasu filling station and Uwanja wa VITA.
It was not easly known as which Authority is currently taking care of, and some People thought on a need to make this structure as one of the Old Building (Museum). Picture by the Coutesy of Mdau.

Tulisha wahi kusema kidogo kuhus jengo hili katika siku za nyuma lakini bila maelezo ya kina. Jengo huli unaloliona lilijengwa mwaka 1912 na sasa limetimiza umeri wa miaka 98. Lipo katika makutano ya Shule ya Sekondari ya Uyui, Shule ya Msingi ya Mwenge, Chuo cha Ualimu (TTC) na Kituo cha Mafuta cha zamani cha Kassu pamoja na uwanja wa zamani wa mpira wa kumbukumbu ya Vita. Haijulikani kwa sasa jengo hili lipo chini ya usimamizi wa mamlaka ipi lakini kumekuwa na maoni kuwa liwe sehemu ya makumbusho. Picha kwa hisani ya mdau.

Advertisements

One Response to “JENGO LA MIAKA 98 TABORA”

  1. FRANCIS MSUKA Says:

    Naomba kujiunga na chuo cha utumishi wa umma


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: