TABORA AND HER OLD AVENUES


TABORA AND HER OLD AVENUES

TABORA AND HER OLD AVENUES


Definately Tabora is one of the few old towns in Tanzania. This oldness can be depicted from the Kitete Avenue with old mijohoro

Ni wazi kuwa Tabora ni moja ya miji ya zamani nchini Tanzania. Ukale huu unaonekana katika moja ya mtaa wake wa Kitete wenye miti mikongwe aina ya mijohoro.

Advertisements

2 Responses to “TABORA AND HER OLD AVENUES”

 1. JB Says:

  NAOMBA KUKUMBUSHWA TENA MBONA SIJAELEWA KWANI BARABARA YA KITETE SIO INAYO TOKA BOMANI KUPITIA KARUNDE MAPAKA KITETE HOSPITAL IKIJA MPAKA NGAMBO HUKU KWA MZEE MBEGA? AU INAYO TOKEA KITETE GETINI MPAKA STATION KUPITIA ISUNGU! SORRY KAMA NIMECHANGANYA LAKINI NATAMBA KUA MTABORA TENA NI MTOTO WA KATI YA WATU MAARUFU MJINI MR A S KASSONGO! R I P MY SWEET,SMART DADDY!

  • uyui Says:

   Uko sawa Kabisa JB. Barabara hiyo inatoka Bomani inapitia iliyokuwa Gemu reserve (Zoo) Kitete Hospitali kisha inakuja mpaka inakutana na Barabara ya N’gambo karibu na mashine ya Unga ya Kina Omari Mbaruku.
   Uyui


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: