THE BATTLE FIELD MEMORIAL STADIUM A.K.A UWANJA WA VITA


TABORA MEMORIAL BATTLE FIELD STADIUM _ UWANJA WA KUMBUKUMBU YA VITA

TABORA MEMORIAL BATTLE FIELD STADIUM _ UWANJA WA KUMBUKUMBU YA VITA

The old football ground that needs an immediate eye so that it can be uplifted to its old glory. Uwanja wa Vita. One can not talk the history of Tabora footbal without a mention of this football ground. It was in this ground that Sungura football team beat Yanga in 1973 and that was one of the biggest news which captured even the DW-Radio. During those days beating teams like Simba or Yanga was not a joke. It is in this field that such teams like Tumbaku, Tindo and Vita of JWTZ used to play without forgetting the old guards Sungura and Coastal. there is are saying about History. One is …… history do repeats itself and the other is ….. those who do not learn from history they are likely to repeat the same mistakes. It is known which out of the two will came first.
UWANJA WA KUMBUKUMBU YA VITA A.K.A UWANJA WA VITA TABORA
Huu ni uwanja wa kumbukumbu ya Vita unaohitaji jicho la karibu ili utengenezwe. Hakuna anayeweza kuongelea historia na soka la Tabora bila ya kuuzungumzia uwanja huu. Ni katika uwanja huu timu ya Tabora iliyokuwa inaitwa Sungura iliifunga Yanga mwaka 1973 na hilo kwa kweli lilikuwa ni tukio na Habari kubwa iliyovutia vyombo vikubwa kama Sauti ya Ujerumani kutangaza habari hiyo. Ni katika uwanja huu timu za Tindo, Tumbaku na Timu ya Vita iliyokuwa inamilikiwa na Jeshi la wananchi zilikuwa zikicheza bila kuzisahau timu kongwe za Sungura na Kosto. Upo usemi unaosema kuwa ….. Historia hujirudia na mwingine usemao ….. wasiojifunza kutokana na historia na kila dalili au uwezekano wa kurudia makosa ya zamani. Katika hili sijui ni kipi kitatangulia.
iiu

Advertisements
Posted in Soka. 1 Comment »

One Response to “THE BATTLE FIELD MEMORIAL STADIUM A.K.A UWANJA WA VITA”

  1. útitárs Says:

    WONDERFUL Post.thanks for share..extra wait .. …


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: