4th Commemoration of the Abdallah Said Fundikira III- Chief of Unyanyembe


THE LATE CHIEF FUNDIKIRA (1921-2007) SECOND FROM LEFT SEATED. PICTURE BY COURTESY OF SHIA ITHNESHERIA

The Late Chief Abdallah Said Fundikira III

This month on 6th August four years ago i.e. in 2007 Nyanyembe (The area sorrounds the Kazeh town) lost one of her greatest son Mzee Abdallah Said Fundikira III (born 2nd of Feb 1921 and died 6 August 2007) Fundikira (86) was Ntemi (chief) of Unyanyembe 1957-1962, when he was deposed by the Tanzanian Government. He died as a member of the Chama Cha Mapinduzi party. The late Chief Fundikira was laid down in a royal burial site with state burial status at Itetemia Tabora on 8th August, 2007 next to his father Said Fundikira.
The Late Fundikira was a Makerere graduate in Agriculture, A chief of Unyanyembe (ordained in 1957); Member of the 1st Cabinet served as Minister of Justice; Chairman of the defunct East African Airways (1967-1972); Spear header of the debate for multipart’s (1990s) and become the Chairman of opposition party UMD (1993-1999) then crossed over the carpet to CCM. After the 2000 general elections, President Mkapa appointed him a nominated MP until 2005. He remained a CCM member until his death.
Uyui commemorates and Salute the Great Chief of Unyanyembe Fundikira III. He was a wise and intelligent man who loved his people and he preferred to speak his mother tongue Kinyamwezi to all those who knows that they know the language. The late chief was fluent in both Kiswahili and English language. May, the Almighty God, rest the soul of Chief Abdallah Said Fundikira in the eternal Piece. Amin.

Kumbukumbu ya miaka 4 ya Marehemu Chifu wa Unyanyembe Abdallah Said Fundikira
Mwezi huu, tarehe 6 Agosti, miaka minne sasa (mwaka 2007). Tabora ilimpoteza mmoja wa watoto wake mashujaa. Hayati Mzee Abdallah Said Fundikira(86). Hayati Chifu Abdallah Said alizaliwa tarehe 2 Februari, 1921 na kufariki tarehe 6 Agosti, 2007. Alikuwa Chifu wa Wanyanyembe kuanzia mwaka 1957 mpaka 1962 wakati Serikali ya kwanza ya Tanganyika ilipofuta cheo hicho na kukibakiza kama heshima. Mpaka wakati anafariki marehemu Fundikira alikuwa mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM).
Hayati Mzee Fundikira alikuwa msomi wa Chuo Kikuu cha Makerere-Uganda ambako alipata shahada yake katika kilimo; alikuwa Chifu wa Unyanyembe; Mwenyekiti wa kwanza wa lililokuwa Shirika la Ndege Afrika Mashariki (1967-1972) na mwanzilishi wa mjadala wa vyama vingi ambapo baadaye alikuwa mwenyekiti wa Chama cha siasa cha UMD (1993-1999) kabla ya kurejea katika chama cha Mapinduzi (CCM). Baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000 Rais wa wakati huo Mhe. Benjamin Mkapa alimchagua kuwa Mbunge wa kuteuliwa mpaka mwaka 2005. Alibakia mwana CCM hadi kifo chake.
Uyui inamkumbuka Shujaa huyu mkuu wa Unyanyembe. Fundikira wa III. Alikuwa mtu makini, mwenye hekima, msomi na mwenye busara. Alipenda sana kuongea kinyamwezi kwa yeyote alijua lugha hiyo ingawa pia Marehemu Chifu Fundikira alikuwa fasaha wa lugha ya Kiswahili na alikijua vyema Kiingera. Mwenyezimungu amlaze mahala pema peponi. Amin.

Advertisements

2 Responses to “4th Commemoration of the Abdallah Said Fundikira III- Chief of Unyanyembe”

  1. Fundikira mikidadi Says:

    Inna lillah wainna ilaih rajiun ni marehemu babu yangu ni mzaa baba huyo na nimelisi jina jina kamili ni Fundikira mikidada Abdallah saidi Fundikira ingawa siijui familia yangu tangu nizaliwe ila ipo cku nitaijua inshaallah

  2. shaib Says:

    INALILAHI WA INNAILAIHO RAJIUN


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: