Stay connected: Humor the laughter medicine every Friday on Uyui


Stay connected: Humor the laughter medicine every Friday on Uyui
Starting this Friday, we will be keeping you with humor stories and cartoons just to make you easy after a long working week i.e. Monday to Friday. Hopeful you will have something to starting in the weekend. We shall appreciate to have one from you so that it can be share with all of us. Life is so short! Let’s have funny.

Usiondoke: Vituo na Komedi sasa ni kila Ijumaa hapa Uyui

Kuanzia Ijumaa hii, tutakuwa tukiwaletea vituko na vunja mbavu ili kukuburudisha baada ya wiki nzima ya kufanya kazi ambayo huanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Ni matumaini yetu kuwa utakuwa na kitu cha kuyafanya mapumziko yako kuwa mazuri. Uyui itashukuru sana kama utakupatia vunja mbavu yoyote uliyonayo ili na watu wengine waburudike. Maisha ni mafupi sana! Tucheke sasa.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: