Dr Dalaly Kafumu up for Igunga Seat


Dr. Dalaly Kafumu, Commissioner of Minerals has been endorsed by his political party Chama cha Mapinduzi (CCM) a ruling part, to vie for the Igunga constituent Parliament Seat in the by-election, it has been learnt. Dk Kafumu will be ralling for seat together will other nominee from other opposition parties namely CHADEMA and Civic United Front (CUF).
The by-election aims at filling in the vacant seat left by a long serving member of Igunga Hon Rostam Aziz who left Parliamentary’s politics as Uyui posted it previously in this WordPress.

Dk Dalali Kafumu ambaye ni Kamishna wa Madini ameteuliwa na Chama chake cha Mapinduzi (CCM) Chama Tawala, kuwania Ubunge wa Jimbo la Igunga katika uchaguzi mdogo, imefahamika.
Dk Kafumu sasa ataungana na wagombea kutoka katika vyama vya Upinzani vya CHADEMA na Chama cha Wananchi (CUF) katika kinyang’anyiro hicho.
Uchaguzi wa Igunga una lengo la kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mbunge wa Siku nyingi wa Jimbo hilo Mheshimiwa Rostam Aziz aliyeamua kuachana na Siasa hasa za Bunge kama tulivyowahi kuripoti katika WordPress hapa Uyui.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: