Dr. Dalaly Kafumu an elect Member of Parliament for IgungaReturn Officer for the Igunga By-election has announced Dk Dalaly Kafumu (CCM) an elect Member of Parliament for the Igunga Constituent. The announcement was made this afternoon at Igunga after Kafumu emerged victorious in an election that was preceeded by hectic campaign. Immediately after the announcement Dk Kafumu thanked all Igunga People and their respective Political parties and argue for close cooperations and collaboration as development is apolitical thing. This word press is not a political arena but we had to report for Kafumu eyes for Igunga on 30th August, 2011 because we believed he was a serious Candidate and matured enough to bring together for developments the people of Igunga whom this site serves.
Afisa msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Igunga amemtangaza rasmi Dk Dalaly Kafumu kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga. Mara baada ya tangazo hilo na kupewa cheti, Dk Kafumu amewashukuru watu wote wa Igunga na vyama vyao na kuahidi kushirikiana nao kwa ajili ya kuiletea maendeleo Igunga na kwamba maendeleo hayana chama. Uyui wordpress sio jukwa la siasa lakini tuliandika habari ya Dk Kafumu tarehe 30 Augusti, 2011 kwa kuamini kuwa alikuwa ni mgombea mwenye uwezo na mkomavu wa kuwaletea maendeleo ya kweli watu wa Igunga ambao sisi katika timu yetu ya uyui.wordpress.com tunawatumikia.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: