Balozi Athumani Mhina Afariki Dunia.


Marehemu Balozi Mhina

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Athumani Mhina amefariki dunia.

Taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu wa Marehemu zimesema marehemu alifariki usiku wa kuamkia jana na kwamba Mwili wa marehemu uko katika Hospitali ya Lugalo jijini.
Marehemu Balozi Mhina alikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi na Mwanadiplomasia wa muda mrefu. Taarifa za awali zinasema kuwa huenda mwili wa marehemu utapelekwa kwao Mnyuzi, Korogwe mkoani Tanga tarehe 3/01/2012 kwa ajili ya mazishi mara baada ya kukamilika kwa taratibu mbalimbali za kiitifaki kwa sababu alikuwa kiongozi wa kisiasa na alipata kufanya kazi Serikalini. Watoto wengine walioko nje ya nchi wanatazamiwa kufika ili kuwahi mazishi hayo. Hata hivyo bado haijajuliakana na ni mapema kujua ni lini mwili wake utalazwa kwenye makazi ya kudumu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina.Picha kwa hisani ya blog ya michuzi

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: