Basi la Upendo lapata ajali mbaya


Mmoja wa Majeruhi akiwa Wodini (Picha na Mzee Nditi)

Taarifa kutoka kwa wadau wa Uyui zilizotufikia punde zimedai kuwa, Basi la Upendo linalofanya safari zake katika ya Dar es salaam na Iringa limepata au kusababishiwa ajali eneo la Doma ambapo abiria 29 wamejeruhiwa na wawili wamepoteza maisha. Chanzo cha ajali hiyo inasemekana kuwa ni maroli mawili yaliyokuwa yanatokea upande wa pili.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: