Marehemu Willy Edward alikuwa na Kipaji cha Uimbaji


Mdau George Marato akitoa zawadi kwa msindi wa Wimbo wa Jojina marehemu Willy Eward. Hii ilikuwa katika Mkutano wa Wahariri wa Habari unaoitishwa kila Mwaka na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.Marehemu alikuwa Mtu wa watu. Hapa akipongezwa baada ya kuibuka Mshindi kwa kuimba wimbo wa Jojina. Hii ilikuwa Mjini Morogoro mwezi Oktoba, 2012 wengine kutoka kushoto ni pamoja na Mdau Tom Chilala wa Star TV

The two pictures above, reflects the good moment where the late Willy Edward cherished with other Editors in Morogoro where they attended a forum organized by the National Health Insurance Fund in a scheduled annual meeting. The pictures reflects

Advertisements

Even Kids can be connected !!! but not now in Africa

With the rapid increase and expansion of communication technology, it is now evident that even kids can be communicated to various network.

When Uyui saw this picture, the first thing that cames to mind was a connection with Worpress. In Africa and developing world, kids or children are not exposed to such communication gadgets due to cultural and economic factors.

But with time this might be a history and Children will also be connected to issues of their level so that the real meaning of development to be reflected and realized accross age cohorts.

WILLY EDWARD WA JAMBO LEO AFARIKI DUNIA

Habari za kusikitisha kutoka Mkoani Morogoro, Mhariri Mkuu wa gazeti la JAMBO LEO, Bw. WILLIE EDWARD amefariki dunia mjini Morogoro alikokuwa akihudhuria Warsha ya Wahariri. Amefariki usingizini. Chanzo cha kifo kitatolewa na vyombo husika. Uyui Word press inaungana na familia ya Marehemu, Wanahabari, Ndugu jamaa na Marafiki wote katika kuomboleza msiba huu wa mpiganaji.Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo. source Father Kidevu blog.
http://mrokim.blogspot.com/2012/06/willy-edward-amefariki-dunia-gafla.html

WILLIE EDWARD A CHIEF EDITOR OF JAMBO LEO PASSED AWAY

A sudden news that surrounds all local media in Tanzania this morning is the untimely loss of Jambo Leo Newpaper chief Editor Willie who passed aways yesterday night. According to Father Kidevu blogspot and later breaking news by the Star Television, the Late Edward was in Morogoro Region where he was attending an advocacy program with other Editors. We deeply join his family, The Jambo Leo newsroom, all Editors and all Journalists in Tanzania and beyond in this difficult moment of tragedy loss of our beloved comrade.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.