WILLY EDWARD WA JAMBO LEO AFARIKI DUNIA


Habari za kusikitisha kutoka Mkoani Morogoro, Mhariri Mkuu wa gazeti la JAMBO LEO, Bw. WILLIE EDWARD amefariki dunia mjini Morogoro alikokuwa akihudhuria Warsha ya Wahariri. Amefariki usingizini. Chanzo cha kifo kitatolewa na vyombo husika. Uyui Word press inaungana na familia ya Marehemu, Wanahabari, Ndugu jamaa na Marafiki wote katika kuomboleza msiba huu wa mpiganaji.Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo. source Father Kidevu blog.
http://mrokim.blogspot.com/2012/06/willy-edward-amefariki-dunia-gafla.html

WILLIE EDWARD A CHIEF EDITOR OF JAMBO LEO PASSED AWAY

A sudden news that surrounds all local media in Tanzania this morning is the untimely loss of Jambo Leo Newpaper chief Editor Willie who passed aways yesterday night. According to Father Kidevu blogspot and later breaking news by the Star Television, the Late Edward was in Morogoro Region where he was attending an advocacy program with other Editors. We deeply join his family, The Jambo Leo newsroom, all Editors and all Journalists in Tanzania and beyond in this difficult moment of tragedy loss of our beloved comrade.

Advertisements

One Response to “WILLY EDWARD WA JAMBO LEO AFARIKI DUNIA”

  1. VICTO MLULA Says:

    Tumepoteza mtu muhimu katika tasnia ya habari nchini,MUNGUaipumzishe roho yake pema peponi AMEN


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: