EARTHQUAKE HAS HIT EL SALVADOR JUST AROUND SOME MINUTES AGO. THIS IS A HUGE ONE.

Reuters) – A major earthquake of 7.4 magnitude hit in the Pacific Ocean about 78 miles (125 km) off the coast of El Salvador late Sunday night, the U.S. Geological Survey said. No destructive Pacific-wide tsunami is expected, and there is no tsunami threat to Hawaii, the Pacific Tsunami Warning Center said.The center said, however, that although it did not know if a tsunami had been generated, a warning was in effect for Costa Rica, Nicaragua, El Salvador, Honduras, Guatemala, Panama and Mexico.The earthquake struck 74 miles (120 km) south of Usulutan, El Salvador, at a depth of 33 miles, the Geological Survey said. There were no immediate reports of damage to coastal areas or to shipping.

TETEMEKO LA UKUBWA WA 7.4 LAPIGA MAILI 78 KUTOKA PWANI YA EL SALVADOR: HILI NI KUBWA ZAIDI

Shirika la Habari la Reuters limesema kubwa tetemeko kubwa la ukubwa wa vipimo vya 7.4 limeshambulia pwani ya Elsalvador umbali wa maili 78 (kiasi cha kilometa 120) kutoka ufukwe wa pwani ya El salvador, Kituo cha Geolojia cha USA kimesema. Hapajakuwa na taarifa zozote za madhara au uharibifu kwenye pwani au vyombo vya usafirishaji vya majini.

OMBA OMBA MAARUFU MATONYA AFARIKI DUNIA ( prominence beggar Matonya Passed Away)

the Late Matonya: A renown beggar in Dar es salaam and Morogoro Region

Who said that only cerebrities and political leaders who make headlines in papers and TV are the only known personalities? It is not. not at all. look at this old man who was a street beggar in the streets of Dar es salaam and Morogoro (a nearby region) he was very famous and known than one would think. When news of his dealth loomed, it was a breaking news. Some of the Mourners include some great personalities in the political spheres.

OMBA OMBA MZEE MATONYA AFARIKI DUNIA

Habari zilizofikia blogu hii muda mfupi uliopita kutoka lukwangule zinasema kwamba Ombaomba maarufu nchini ambaye siku za karibuni alikuwa akiomba mkoani Morogoro kwa staili ya kulala na kopo amenyanyua juu bila kuchoka, Mzee Matonya amezikwa jana alasiri kijijini kwake Mpamantwa baada ya kufariki dunia kufuatia maradhi yaliyomsibu. Kitu ambacho mtu anaweza kujifunza kutokana na Mzee huyu ni kwamba sio lazima uwe na fedha au madaraka ili uwe maarufu. Hayati Mzee Matonya japokuwa alikuwa Ombaomba wa mitaani katika jiji la Dar es Salaam na hatimaye Morogoro, alikuwa maarufu na hilo limejidhihirisha jinsi watu walivyomlilia baada ya kifo chake ambapo hata wanasiasa wamemlilia.

Arsenal: The Gunners are yet to start firing (Arsenal yatoka sare na Stoke City)


Scrapping for the ball: Arsenal and Stoke produced few clear-cut chances Photo: ACTION IMAGES

Arsenal displayed all the cutting edge but ended up in a deadlock with Stoke City.Wenger’s revamped team secured a second successive goalless draw in the Premier League to emerge from a venue that has proven so unforgiving in the past with a deserved point.But Arsenal are still clearly devoid of penetration after Van Persie’s departure to Manchester United and Wenger badly needs Lukas Podolski and Olivier Giroud to start firing soon or face another frustrating season. (Hope Arsenal will be back to their cruising speed).Despite concerns over a lack of goals, Wenger will still view this as a decent result and the excellent performance of another new signing, Santi Cazorla, bodes well for the future. the Telegraph

Rooney home from hospital after treatment for wound so deep it ‘surprised’ surgeons

Pain game: Rooney blocks Rodallega’s shot but ends up cutting his thigh

Wayne Rooney has returned home from hospital after being treated for the nasty injury he sustained during Manchester United’s 3-2 win over Fulham on Saturday.Surgeons said they were ‘surprised’ at the depth of the cut, which looks set to keep the England star out for a month. Rooney remained in hospital overnight as medical staff assessed the extent of the injury he sustained when Hugo Rodallega landed on him in stoppage time. iimmediately after the game, Sir Alex Ferguson said it was ‘a very bad one’.It seems inevitable he will miss England’s opening World Cup qualifiers against Moldova and Ukraine next month.Source: Mail online.

WAYNE ROONEY ATOKA HOSPITALI BAADA YA JERAHA, HUENDA AKAKAA NJE YA UWANJA KWA WIKI NNE

Wayne Rooney ametoka hospitali baada ya kuumia sehemu ya paja wakati wa dakika za nyongeza katika pambano la Ligi kuu ya Uingereza katika ya Timu yake ya Manchester United na Fulham. Mara baada ya mchezo kumalizika meneja wa Man United Sir Alex Ferguson alisema “ilikuwa mbaya” akimaanisha failo iliyofanyika dhidi ya Rooney. Kutokana na jeraha hilo huenda akawa nje ya uwanja kwa wiki nne hivyo kukosa mchezo wa mchujo wa awali wa Kombe la Dunia kati ya Uingereza na Ukraine.

Neil Armstrong: The first man on the moon, has died at age 82.

According to NBC News, Neil Armstrong,He died at 2:45 p.m. on Saturday, suffering complications following his recent cardiac bypass surgery.On July 20, 1969, Armstrong and his partner Buzz Aldrin made history as the first people to ever walk on the moon. in Tabora there was a bus owner by Mamlo, it was neck named as APOLLO 11 following that great work done by Neil Armstrong and his colleagues.

BINADAMU WA KWANZA KUTUA MWEZINI AFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 82

Neil Armstrong anayesemekana kuwa ni binadamu wa kwanza kutua mwezini mwaka 1969 amefariki dunia, Habari kutoka Shirika la NBC zimesema kuwa Armstong alifariki jumamosi ya tarehe 25 Agosti, 2012 akiwa na umri wa miaka 82. Kwa Tabora, bila shaka watu wengi wanakumbuka lile basi la Mamlo miaka ya 1970 lilikuwa na Jina la APOLLO 11 ikiwa ni kuenzi chombo kilichotumika kuwaenzi Armstong na wenzake kwa kazi hiyo kubwa waliyoifanya.

Diamond Talkes 1953 of Tabora A story from Natubhai Mehta

Jumba la senema la Diamond talkes Tabora

From Natubhai mehta Born in Tabora Tanzania and worked at Tabora Post Office from 1951 to 1970, was the owner of Diamond Talkes Cinema till 1999. (The Cinema Hall currently has been converted into a University). Natubhai is currently residing in UK and living a postretirement life in stan more. Following the comments about the Cinema hall, some of which was posted in Tabora network, Mzee Natubhai was pleased to hear all those stories and complements. For those who might not be aware Natubhai disclose that the cinema was built in 1953 by Rajbai Hirji and was named in honour of the Diamond Jubilee celebrations for the Agakhan, hence the name Diamond talkes. Natubhai’s father Hakubhai Mehta was the first Manager of the Cinema and run it successfull until 1969 after which he retire. From 1969 his brother Pratap and him run until 199. After 2000 the late Divyesh Shah ran it and thereafter the cinema was no more.

You won’t be bored by Papers’ stories about Kaka’s move to Man United

If you are a Man United fan you wont be bored by this story

Neil Ashton and Chris Wheeler write in the Daily Mail…United offered Brazil legend in shock loan deal.Kaka has been offered to Manchester United on a season-long loan as Real Madrid prepare for the arrival of Luka Modric. Galatasaray and Kaka’s former club AC Milan have also registered their interest in the 2007 World Player of the Year, but United are the biggest draw for the Brazilian. Sir Alex Ferguson is giving the 30-year-old serious consideration but has fears about his form and fitness after so many injuries. If you are a Man United fans, definitely you won’t be bored by such story especially after yesterdays match with Everton where Man United started with a slip.
HAUTABOREKA KUSIKIA MAGAZETI YAKIRIPOTI HABARI ZA KAKA KUTAKA KWENDA MAN UNITED
Taarifa za magazeti ya Uingereza likiwemo la Daily Mail zimesema kuwa mchezaji wa Brazil Kaka anaweza kwenda Man United kwa Mkopo wa muda mrefu akitokea Klabu ya Real Madrid. Hatua hiyo inafuatia maandalizi ya Klabu hiyo ya Madrid kujiandaa na ujio wa kiungo Luca Modric. Kwa wapenzi wa Man United na hasa baada ya kutekeza jana kwa Everton, habari hizi bila shaka hazitawachosha.

Homage: Ethiopian PM Meles Zenawi Died at 57 Meles Zenawi Afariki Dunia

Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi dies at the age of 57, state television announces. During his lifetime Meles Zenawi acquired an MBA (Master of Business Administration) from the Open University of the United Kingdom in 1995 and an MSc. (Masters of Science) in Economics from the Erasmus University of the Netherlands in 2004. In July 2002 Meles received an honorary doctoral degree in political science from the Hannam University in South Korea.

MELES ZENAWI AFARIKI
Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe Meles Zenawi, amefariki Dunia. Taarifa za kufariki kwake zimetangazwa na Msemaji wa Serikali na kuripotiwa na televisheni ya nchi hiyo.Wakati wa Uhai wake Meles alishapata shahada ya pili ya Uongozi wa Biashara kutoka chuo kikuu huria chini Uingereza mwaka 1995. Alitunukiwa pia shahada ya pili ya sayansi ya uchumi kutoka chuo kikuu cha Erasimu cha Uholanzi mwaka 2004. Mwezi Julai, 2002 alipata Shahada ya Udaktari wa Falsafa ya heshima katika sayansi ya siasa kutoka chuo cha Hannan cha nchini Korea ya Kusini.

Dawood Psalm 133: No war nor intention to fight with Malawi

Tanzania has made it clear that the Country has no plan nor intention to wage a war with a neighboring country Malawi over lake Nyasa border diversity opinions. Source: http://issamichuzi.blogspot.com

UYUI IS THANKFULL AS IN PSALM 133 IT HAS BEEN WRITTEN “… BEHOLD, HOW GOOD AND HOW PLEASANT IT IS FOR BRETHREN TO DWELL TOGETHER IN UNITY…” Tanzania is a peaceful country that loves all its neighbors.

TANZANIA HAINA NIA WALA MPANGO WA KUINGIA VITANI NA NCHI JIRANI YA MALAWI

Tanzania imesema haina nia wala mpango wa kuingia katika vita na nchi jirani ya Malawi kufuatia tofauti zao za mipaka katika ziwa nyasa.IMEANDIKWA KATIKA ZABURI YA 133 “… TAZAMA NI UZIRI WA KUPENDEZA KWA NDUGU WAWILI KUKAA PAMOJA KWA UPENDO..”

God Forbid …. Processors of Unauthorized Local Spirits !!!

Unauthorized processor of local spirit under the hands of Police in Tabora

Tabora Regional Police Commander, ACP Anthony Rutha, issuing orders to some Officers of the Police in Tabora Districts, infront are the processors of local spirits of unauthorized drinks called Gongo which was captured by the Police in their recent operations.

MITAMBO YA POMBE HARAMU YA GONGO YAKAMATWA MJINI TABORA
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Anthony Rutha akitoa maelekezo kwa baadhi ya maafisa wa Jeshi hilo wilaya ya Tabora mjini,mbele katika picha ni mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi,Gongo iliyokamatwa katika oparesheni maalum inayofanywa na Jeshi hilo.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.