OMBA OMBA MAARUFU MATONYA AFARIKI DUNIA ( prominence beggar Matonya Passed Away)


the Late Matonya: A renown beggar in Dar es salaam and Morogoro Region

Who said that only cerebrities and political leaders who make headlines in papers and TV are the only known personalities? It is not. not at all. look at this old man who was a street beggar in the streets of Dar es salaam and Morogoro (a nearby region) he was very famous and known than one would think. When news of his dealth loomed, it was a breaking news. Some of the Mourners include some great personalities in the political spheres.

OMBA OMBA MZEE MATONYA AFARIKI DUNIA

Habari zilizofikia blogu hii muda mfupi uliopita kutoka lukwangule zinasema kwamba Ombaomba maarufu nchini ambaye siku za karibuni alikuwa akiomba mkoani Morogoro kwa staili ya kulala na kopo amenyanyua juu bila kuchoka, Mzee Matonya amezikwa jana alasiri kijijini kwake Mpamantwa baada ya kufariki dunia kufuatia maradhi yaliyomsibu. Kitu ambacho mtu anaweza kujifunza kutokana na Mzee huyu ni kwamba sio lazima uwe na fedha au madaraka ili uwe maarufu. Hayati Mzee Matonya japokuwa alikuwa Ombaomba wa mitaani katika jiji la Dar es Salaam na hatimaye Morogoro, alikuwa maarufu na hilo limejidhihirisha jinsi watu walivyomlilia baada ya kifo chake ambapo hata wanasiasa wamemlilia.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: