Muleba:Exam room that turned into a labour ward

Picture and Swahili story: A courtesy of Kilimanjaro Blog

Daily News: A 14 years old schoolgirl at Kabiri Primary School in Muleba District underwent labour pain while sitting for the standard seven National Examination this week. She was later reported to have safely delivered a baby a little while later. the Government Daily News paper further reported that the girl manaed to return to the classroom to continue with her examinations.

Mwanafunzi wa darasa la saba ajifungua wakati akifanya mtihani
Mwanafunzi wa darasa la saba amejifungua wakati akifanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wilayani Muleba mkoani Kagera.
Tukio hilo lilitokea juzi kati ya saa nne na tano asubuhi katika Shule ya Msingi Kabiri katika Kijiji na Kata ya Kabirizi, Nshamba wakati mwanafunzi huyo, mwenye umri wa miaka 14 (jina na namba yake ya mtihani inahifadhiwa) akifanya mtihani wa pili na wenzake ndani ya chumba cha mtihani.

Advertisements

Zanzibar: If you want to knock Prison’s door Just smoke in Public

Ukivuta sigara hadharani Zanzibar unatiwa korokoroni

Zanzibar: If you want to know who is in prison or if you want to knock the doors of Prisons in Zanzibar Islands of the United Republic of Tanzania just smoke in public (Uyui doesnt advise that). The Isand Authority is set to take a displinary measures for all who those who will be smoking in public by sending them behind the Prisons bar for seven days. One of the daily paper Zanzibar Leo reported the story in its today’s front page cover.kwa wavuta Sigara Zanzibar tafadhali jizuieni msije pata madhila.

ZANZIBAR:ATAKAYEVUTA SIGARA HADHARANI JELA
Zanzibar Leo: Imebainika kuwa atakae bainika kuvuta Sigara kwenye mkusanyiko wa watu atakamatwa na kupigwa faini ya laki mbili au kwenda jela siku 7
Source;ZANZIBAR LEO

Just dont confuse them! they are not beggars

magubike ladies

These are serious entrepreneurs of Magubike village along Dodoma- Dar road, here they are soliciting for a customer to buy raw food products and fruits which they are selling at a go price.

USICHANGANYE MAMBO: HAWA SIO OMBA OMBA NI WAJASIRIAMALI

Kina mama pichani waliozunguka gari hiyo ni wajasiriamali wa mbogamboga na matunda wa kijiji cha Magubike kilichoko katika barabara kuu ya Dodoma Dar es Salaam. Hapa wanamshawishi Mteja aliyeko kwenye gari ili ateremke na kununua moja ya bidhaa wanazouza hapo. Bei zao kwa kweli ni karibu na bure na kijiji hicho kwa sasa kinazidi kujizolea umaarufu na kuwa kituo muhimu kwa magari yote yanayotoka Ddoma au Dar es salaam.

The Papers today on Football

FERGIE HAILS VAN PERSIE (SIR ALEX FERGUSON AMVULIA KOFIA VAN PERSIE)

RVP

Manchester United boss Sir Alex Ferguson admitted he was stunned by Robin van Persie’s horror penalty in the 3-2 win at Southampton – but will let the hat-trick hero off.With United 2-1 down Van Persie tried to chip a penalty over Kelvin Davies, got it all wrong and the keeper saved it easily but he scored all three goals – the winner in
injury time – as United secured a dramatic victory.”I was surprised because every time I have seen him take a penalty he rattles it in the corners,” the United boss said of Van Persie, who reached 100 Premier League goals with his third. “He made up for it, though. He had six attempts on goal and was a real threat. His first goal was absolutely magnificent – the control and then to bury it away. It was a really, really good goal.
“His header (the second) was excellent too, but he has been a terrific player for us. I just thought we started the game so well and went a goal down when we were controlling the game. That puts you on the back foot a bit.”We got an equaliser at the right time and that gave us time to organise ourselves and make sure we controlled the second half. “It didn’t go that way and I thought Southampton for the first 20 minutes were very good.” SKY NEWS

WENGER PLEASED WITH PODOSKI (WENGER ARIDHISHWA NA PODOSKI)

Arsenal boss Arsene Wenger was delighted to see Lukas Podolski get off the mark in the Gunners’ 2-0 win over Liverpool.The German international scored his first Premier League goal – which was Arsenal’s first of the new season – as he put the Gunners ahead at Anfield.New signing Santi Carzola, who set up Podolski’s strike, smashed home the second as the Gunners grabbed their first win of the season following successive 0-0 draws against Stoke and Sunderland.”Everybody understood quickly Cazorla would not need six months to settle,” said Gunners boss Wenger. “Lukas Podolski is deadly when he gets a chance. I am pleased for them.”
Wenger also confirmed he was hopeful Jack Wilshere would be fit to make a comeback within a month after over a year out with an ankle injury.”Jack is looking very good in training. We will give him a month. Then he should start to play,” he said.

OLD IS GOLD MICHAEL OWNEN & DIDIER DROGBA STILL HOT CAKES (YA KALE DHAHABU OWEN NA DROGBA BADO WANASOKO KUBWA)

Michael Owen

The DAILY MAIL Brendan Rodgers wil consider a move for michael Owen after seeing his goal-shy side comprehensively beaten by Arsenal at Anfield.
DAILY MIRROR Breden revealed he will ask the question about a loan deal for Didier Drogba and Michael Owen after being left high and dry in the transfer window
METRO sunderland have also made contact with michael owne, who is a free agent after being released by Manchester United.

OWEN NA DROGBA BADO LULU UINGEREZA-MAGAZETI

Mshambuliaji Michael Owen na Didier Drogba wanaonekana kutakiwa na vilabu kadhaa vya ligi kuu ya Uingereza. kwa mujibu wa magazeti mbalimbali ya Jijini London yakiwemo ya Daily Mail; Daily Mirror na Metro vilabu vya Liverpool na Sunderland vinaonekana kuvutiwa na Owen wakati kicha wa Liverpool anaonekana kuulizia uwekekano wa kuwa na Drogba pia katika usajili wa dirisha dogo.

Daudi Mwangosi wa Channel Ten Afariki Dunia

Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten – Mkoani Iringa David Mwangosi amefariki dunia. kwa mujibu wa Kituo cha Radio na Televisheni cha ITV/Radio One, Mwangosi alifariki jana katika kijiji cha Nyololo Mufindi kusini, Mjini Iringa. Inadaiwa kuwa chanzo cha kifo hicho kinafuatia vurugu kati ya Polisi na Wafuasi wa chama cha CHADEMA baada ya Jeshi hilo kuwataka wafuasi wa chama hicho kutawanyika katika mkusanyiko uliokuwepo. Hata hivyo chanzo cha vurugu hizo pia bado hakijaweza kujulikana. Amefariki akiwa kazini kupata habari za matukio. Pole nyingi kwa wote hasa tasnia ya habari. Uyui huwa haiandiki habari zinazohusiana na Siasa au Habari za matukio kama hili zinazohitaji uangalifu na umakini mkubwa katika kuzielezea kwa umma kwa sababu zinavuta hisia mbalimbali. Lengo la Uyui siku zote ni kujenga, amani upendo, mshikamano na utaifa kwanza. Tumelazimika kuandika kwa kuzikariri kwa heshima ya Mwangosi na kwa kuamini vyombo vya habari vilivyoziripoti vilikuwa na vyanzo sahihi na vya kuaminika.

TV JOURNALIST DIED IN A CLASH
The Citizen: A journalist yesterday become the victim of confrontation between the Police and the opposition party- CHADEMA. According to the Radio One broadcasts yesterday evening, before starting the use of force, the police ordered people who were at the area to disperse. for more info http://www.thecitizen.co.tz
Uyui wordpress is apolitical post. We normally abstain from political related news or such a catch 22 sensitive issue which requires careful consolidation, impartiality and reliable sources. We did this one out of necessity as a tribute to Mwangosi and by considering the credibility of the media we have referred as our source in this case.

Kids news items we tend to Ignore

Even Kids likes the unusual

Adults normally need new things and when it comes to news, they need new info or events worthy reading, listening or watching. These are the sensational things, the unusual, that determine how much prominence a news story is given by a media outlet, and the attention it is given by the audience.The same for Kids, they are interested with things that are sensational to them. Just have a look on the baby girl and you will agree with us that those are the kind of events they are interested to watch or touch.

HABARI ZA WATOTO AMBAZO WAKATI MWINGINE HUWA TUNAJISAHAU

Hata watoto hupenda matukio. Mara nyingi watu wazima hupenda habari mpya hasa zinazosisimua, zisizo za kawaida. Habari au matukio ambayo huyasoma, kusikia kwenye Radio au kuyaona kwenye Televisheni. Hebu muangalie mtoto huyu wa kike. Nadhani utakubaliana nasi kuwa hata watoto hupenda matukio ambayo sio ya kawaida. Kwa bahati mbaya aghalabu huwa tunajisahau kuhusu hisia au mambo wanayopenda kuona au kujihusisha.

A loose “Lion” in Essex: If you were a neighbor, how would you react to such a thrilling info?

The papers in England (last week) reported on shaking story that ended to be a joke. Neighbours of Essex (Zoo) claimed to have seen “a lion” who was loose. One went even further and claim to have heard that “lions” roar….. (just imagine) others claimed it was BIG CAT. Later that night they were given a clearer image and told police it was not the right shape to be a lion. ‘Unfortunately the police were in a position where they were damned if they do and damned if they don’t as you cannot risk public safety if there is any suspicion a dangerous animal is on the loose.’ it was later confirmed to be a cat called Teddy owned by Ginny Murphy. That story was by the way….. the story now is or a question is …. if you were a neighbor to Essex Zoo and came across with such a thrilling information how would you react?

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.