Daudi Mwangosi wa Channel Ten Afariki Dunia


Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten – Mkoani Iringa David Mwangosi amefariki dunia. kwa mujibu wa Kituo cha Radio na Televisheni cha ITV/Radio One, Mwangosi alifariki jana katika kijiji cha Nyololo Mufindi kusini, Mjini Iringa. Inadaiwa kuwa chanzo cha kifo hicho kinafuatia vurugu kati ya Polisi na Wafuasi wa chama cha CHADEMA baada ya Jeshi hilo kuwataka wafuasi wa chama hicho kutawanyika katika mkusanyiko uliokuwepo. Hata hivyo chanzo cha vurugu hizo pia bado hakijaweza kujulikana. Amefariki akiwa kazini kupata habari za matukio. Pole nyingi kwa wote hasa tasnia ya habari. Uyui huwa haiandiki habari zinazohusiana na Siasa au Habari za matukio kama hili zinazohitaji uangalifu na umakini mkubwa katika kuzielezea kwa umma kwa sababu zinavuta hisia mbalimbali. Lengo la Uyui siku zote ni kujenga, amani upendo, mshikamano na utaifa kwanza. Tumelazimika kuandika kwa kuzikariri kwa heshima ya Mwangosi na kwa kuamini vyombo vya habari vilivyoziripoti vilikuwa na vyanzo sahihi na vya kuaminika.

TV JOURNALIST DIED IN A CLASH
The Citizen: A journalist yesterday become the victim of confrontation between the Police and the opposition party- CHADEMA. According to the Radio One broadcasts yesterday evening, before starting the use of force, the police ordered people who were at the area to disperse. for more info http://www.thecitizen.co.tz
Uyui wordpress is apolitical post. We normally abstain from political related news or such a catch 22 sensitive issue which requires careful consolidation, impartiality and reliable sources. We did this one out of necessity as a tribute to Mwangosi and by considering the credibility of the media we have referred as our source in this case.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: