Uyui: Cassava (Muhogo) A plant with 100 percent utility Muhogo unatumika kwa asilimia 100


Cassava or Muhogo in kiswahili, a plant with 100 utility. the leaves and roots are used as food while the sterm is used as fire wood. cassava has multiple usage and it is easier to convert to whatever format one wants. cassave cake, chips (chips dume), cassava can be used at breakfast as snacks or as a meal cassava flour (ugali). Cassava can withstand climate change and is a popular food south of Africa since 17 century where it was brought in from South America. Wanyamwezi till recent times were in favour of potatoes rather than cassava. To them especially in the past time cassava was considered as a food to take during femine or hunger period. A family that was eating cassava was considered as a poor one. Over time things have changed and cassava is gaining its unprecedent popularity especially to Uyui and Taborian like no other business.

LADHA YA MUHOGO NA JINSI WANYAMWEZI WALIVYOKUWA WANAUCHUKULIA
Mhogo unayo matumizi mengi. Mbali ya kuwa ni chakula majani yake huitwa kisamvu na hutumiwa kama mboga hasa na wanyamwezi. (kisamvu cha karanga). miti yake hutumika kama kuni. Mihogo hufanywa keki, chips na huliwa kama ugali (ugali wa muhogo). Mhogo pia hufanywa mchanyato au furari wakati wa mwezi wa Ramadhani. Pamoja na yote hayo siku za nyuma Wanyamwezi hawakuupa umuhimu kuliko viazi. Muhogo ulitumika zaidi wakati wa njaa au kwenye ukame. familia zilizokuwa muhogo zilionekana kama familia duni. Hali sasa imebadilika na ukifika Tabora utaona jinsi watu wanavyoipenda. Muhogo umepanda chati kuliko ilivyokuwa awali. Waliosoma Uyui wanajua jinsi Mihogo ya Mzee Amiri iliyotiwa pilipili unga na bizari jinsi ilivyokuwa mitamu hasa rojo lake. Rafiki Akber Somji alikuwa anasema HOGO TAMU KULIKO KATE (MKATE).

Advertisements

2 Responses to “Uyui: Cassava (Muhogo) A plant with 100 percent utility Muhogo unatumika kwa asilimia 100”

  1. Molly Mwenitumba Says:

    Nilikuwa namsimulia mtoto wangu kuhusu mihogo ya mzee Amiri, nikamwambia tuki Google tunaweza kuta taarifa zake, ameshangaa sana alipoona kweli taarifa zipo. Japo amenicheka sana kwamba inakuwaje watu tulikuwa tunaenjoy mihogo ya pilipili na binzari. Those good old days.

  2. xenical kopen Says:

    I thought I knew a lot there is to know about this subject, but seems we are never to old to learn..;)


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: