Uyui: A Chilly Dar es salaam sky this morning


Anga la Dar na Mawingu leo aubuhi.

Maeneo ya Kurasini

Hata Miashoki ingeweza ingesema jinsi hali ilivyo leo asubuhi

Even the Ashok trees would tell

Hata maeneo ya Nyerere Road nako hali ilikuwa poaa

Anga lilivyokuwa Maeneo ya Barabara ya Nyerere. The sky view at Mwalimu Nyerere Road this morning

Usually Dar es salaam City is hot, but in the last two weeks it was hotter like furnace. It is difficulty to comprehend unless you have had that experience. During night it is even more than worse. Ceiling fans have of little help and no one would dare to sleep outside. Hahahahaha…..!!!!

It is a very fine morning debuting a new day with a very fine weather as you can view the Dar sky. Hope todays weather will promise a new beginning of the season or at least let it rain.

Kwa kweli joto katika Jiji la Dar es salaam lilikuwa la juu katika majuma mawili yaliyopita, Juma hili ilikuwa kali zaidi, ni kama tanuru. Ni vigumu kuilewa hali hii hadi uwe ulishakumbana nayo. Majira ya usiku hali huwa ngumu zaidi. feni za kupepea upepo hazisaidii tena na hakuna mtu anayefikiria kutoka ili alale nje. Hahahaha!!!!

Ni siku murua kabisa inayoashiria mwanzo wa siku njema yenye hali ya hewa murua hasa ukiangalia anga la jiji la Dar. Tunaratajia kuwa hali hii iliyopo leo hii inaashirikia kwenda kwenye mwanzo wa majira mengine ya msimu au angalau mvua inyeshe.


magangaferuzi@gmail.com

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: