Uyui: Sharo the Millionaires (A Young Multi talented Bongo Celebrity, Comedian and Musician) passed away


OOH MAAMAAA….BURIANI SHARO MILIONEA.

Habari za kushikitisha zilizotawala vyombo vya habari leo hii asubuhi ni kuwa muigizaji na mwanamuziki, Hussein Ramadhan aliyejulikana zaidi kama Sharo Milionea,amefariki dunia kutokana na ajali ya gari iliyotokea majira ya saa mbili usiku jana katika eneo la Maguzoni Songa katikati ya Segera na Muheza mkoani Tanga. chanzo cha umauti wa msaani huyo ni ajali ya Gari aliyokuwa akiendesha iliyoacha njia. alikwa anakwenda kuwaona wazazi wake. Ni msiba mzito lakini ni kazi yake Mwenyezi Mungu.

Sharo the Millionaires (A Young multi-talented Bongo Celebrity, Comedian and Musician) passed away in a road accident just few kilometers from reaching home. .

Advertisements

3 Responses to “Uyui: Sharo the Millionaires (A Young Multi talented Bongo Celebrity, Comedian and Musician) passed away”

  1. salama rajab mbarouk Says:

    M/mungu ailaze roho ya marehemu pahali pema peponi amin nasie pia tuliobakia, tujitahihi kuzidisha ibada, m/mungu wapunguzie majonzi familia ya marehemu

  2. Sidney Says:

    Inasikitisha sana sana kwa sababu tulimzoea na kwamba alikuwa katika siku zote ni mtu wa watu. Tunayo majonzi sana, na hasa kwa sababu alikuwa mara kwa mara anaonekana katika runinga na tangazo la Airtel. Mungu ailaze roho ya marehemu Hussein Ramadhani a.k.a. Sharo Milionea mahali pema peponi. Amen.

  3. Fatuma mwinyihamisi kurira Says:

    Mwenyezimungu ailaze roho yake ndungu sharo,ameen


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: