Uyui: Tanzanian Population turns 44.9 Million while bidding a farewell to 2012

Idadi ya Watanzania yafikia milioni 44,929,002 wakati Taifa likuaga mwaka 2012.

Tanzanian Population

Tanzania population turns 44,929,002 as the Country bids a farewell to year 2012. The story probably is not the number but the hidden momentum of population growth as in 2002 the Population was 34.4 million.

Uyui: Is this a Picture of Chakechake Pemba Island that you had in mind before? You will not see any plastic bag around the Island

Kama hujawahi kufika Kisiwa cha Pemba. Picha hii ndio uliyokuwa nayo kichwani kuhusu Kisiwa hiki kilivyo? Pemba hutaona Mifuko ya Plastic ikizagaa .

Moja ya Mitaa ya ChakcChake Kisiwani Pemba

Moja ya Mitaa ya ChakcChake Kisiwani Pemba

One of the streets in Chakechake Pemba Island.Is this a picture of Pemba Island that you had in mind before? Spare your time and visit Pemba Island, you will not regret. To remind you, plastic bags are not allowed so please do not carry any.

Uyui: You are not overlooked …. Marry Christmas and Happy New Year but..Just think of Us… Dar City is Hot like a furnace

Hujasahaulika…. Tunakutakia Sikukuu Njema ya Krismas na Heri ya Mwaka Mpya. Cha ziada au tofauti ni kuwa Dar es salaam ni joto kama pasi ya Mkaa hivyo miti yetu haina theluji kama iliopo kwenye picha.

Noeli ni ile ile Dunia Nzima isipokuwa Dar ni Jotoo

Noeli ni ile ile Dunia Nzima isipokuwa Dar ni Jotoo

You are not overlooked, definitely not. We wish you a Marry Christmas and Prosperous New year of 2013. Please note that Dar es salaam is hot like a furnace so think of how our Christmas trees looks like. not as the one in the picture above..

Uyui: Former Tabora MP Siraju Kaboyonga Died at 64

Msiba Mzito waigubika tena Tabora. Yapoteza Mmoja wa Mashuja wake Muhimu Mzee Siraju Kaboyonga..

Mbunge wa Zamani wa Tabora Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Mbunge wa Zamani wa Tabora Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Mbunge wa Zamani wa Tabora (2005-2010) Mzee Siraju Juma Kaboyonga amefariki Dunia. Mheshimiwa Siraju alikuwa Mwanazuoni, Mwekezaji na mdau wa maendeleo ya Tabora, na pia mwanafunzi wa Kazima Sekondari(miaka ya 1960 mwishoni). Anatazamiwa kuzikwa leo katika makaburi ya kisutu Jijini Dar es salaam.Machozi na vilio vimetanda Mji wote wa Tabora. Inna Lilahi Waina Ilaihi Rajiuun.

Uyui: Amazing!!! This is Mithali a Point where the Sun Shines first in Pemba Island, Zanzibar- Tanzania

Taswira: Huwezi kuamnini!!! Hapa ni Mithali, Kisiwani Pemba, Zanzibar ambako jua huchomoza mapema zaidi kuliko maeneo mengine.

Wish you were here

Uyui: Hallo and A very Goodmorning with Sun Shine From Mithali in Pemba Island, Zanzibar

Taswira ya Mawio ya Jua Kisiwani Pemba: Ulishawahi Kufikiria kuwa Hali huwa kama hivi Asubuhi?

Sun Shine at Mithali, Pemba Island

A very cool morning at Pemba

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.