Uyui: Former Tabora MP Siraju Kaboyonga Died at 64


Msiba Mzito waigubika tena Tabora. Yapoteza Mmoja wa Mashuja wake Muhimu Mzee Siraju Kaboyonga..

Mbunge wa Zamani wa Tabora Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Mbunge wa Zamani wa Tabora Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Mbunge wa Zamani wa Tabora (2005-2010) Mzee Siraju Juma Kaboyonga amefariki Dunia. Mheshimiwa Siraju alikuwa Mwanazuoni, Mwekezaji na mdau wa maendeleo ya Tabora, na pia mwanafunzi wa Kazima Sekondari(miaka ya 1960 mwishoni). Anatazamiwa kuzikwa leo katika makaburi ya kisutu Jijini Dar es salaam.Machozi na vilio vimetanda Mji wote wa Tabora. Inna Lilahi Waina Ilaihi Rajiuun.

Advertisements

One Response to “Uyui: Former Tabora MP Siraju Kaboyonga Died at 64”

  1. Anonymous Says:

    Amani Iwe kwenu nyote!
    Kwanza nitoe pole kwa familia nzima ya Mzee Kaboyonga kwa kumpoteza kijana wao pia faimia nzima ya WanaTabora kwa kuondokewa na Jembe la ukweli. Yatoshakuwa Msiba wa Kaka yetu kuwa kumbusho kwa maisha yetu ya kila siku.

    Achembo


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: