Uyui: AFRCON 2012 Adebayor now ready in combat for his country

 

Mwanandinga Adebayor sasa yuko tayari kuipigania nchi yake katika 

michuano ya AFCON 2013.

 

Mwanandinga Emanuel Adebayor sasa  Adebayo in full combat for his Country towards  AFCONyuko tayari kuipigania tena timu ya taifa lake la Togo katika michuano ya Kombe

la Afrika ya AFRON inayotarajia kuanza tarehe 19 mwezi huu nchini Africa ya Kusini.  Kabla ya uamuzi wake huo, kulikuwa na hati hati kama mshambualiaji huyo wa Spurs angerejea kwenye timu yake hiyo ya Taifa na kuichezea tena.

Usalama wa Timu na maslahi ya wachezaji ni mambo yaliyokuwa yakizungumzwa. Kumekuwepo pia jitihada mbalimbali za kumshawishi kurejea tena zikiwemo Jitihada binafsi za Rais wa Togo. Hatimaye jitihada hizo zimezaa matunda baada ya mchezaji huyo kukubali kurejea tena kikosini. Awali kocha wake ABV alisema asingemzuia kama mchezaji huyo angeamua kuchezea timu yake ya Taifa.

The Togo Skipper Emanuel Adebayo is  now red and ready in combat to fight for the glory of national side on the forthcoming AFCON 2013 scheduled to start on 19 January, 2013 in South Africa. Some of the papers has described his decision as a U turn one, but by and large the most important thing for any hero is to defend his country and this is the message that Uyui is reading from Adebayor. It is a new beginning with pride for all Togo.

  

Advertisements

Uyui: Tabora A hub that connects the west and lake Regions

 

Daraja la Mbutu Igunga lenye urefu wa mita 165 kujengwa na Kandarasi wa ndani kwa gharama ya shilingi bilioni 11.7 ikiwa ni fedha za ndani. Mheshimiwa Rais awapa changamoto Makandarasi wa ndani kudhihirisha ubora wa kazi zao.

daraja la mbutu 3 

Mbutu a bridge that connects 4 Regions to be constructed by local contractors at 11.7 bilion Shillings. Hon President who is in Tabora challenged local contractors to upholds standards and quality.

 

daraja la mbutu 2

Wakazi wa Igunga picha ya chini wakimpungia mkono Mheshimiwa Rais (hayupo pichani) ambaye yupo ziarani mkoani Tabora wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa daraja la Mbutu.

Igunga Welcomes JK

2012 in review

The WordPress.com stats helper monkeys prepared a 2012 annual report for this blog.

Here’s an excerpt:

4,329 films were submitted to the 2012 Cannes Film Festival. This blog had 18,000 views in 2012. If each view were a film, this blog would power 4 Film Festivals

Click here to see the complete report.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.