CCM: WALIOCHAGULIWA KAMATI KUU YA CCM HAWA HAPA (CCM Central Committee named)

Kitwete achaguliwa tena Kuongoza CCMKutoka Tanzania Bara

 1. Dk Emmanuel Nchimbi
 2. Prof. Anna Tibaijuka
 3. Steven Wassira
 4. William Lukuvi
 5. Adam Kimbisa
 6. Jerry Slaa
 7. Pindi Chana

  Kutoka Zanzibar                    

 1.  Dk. Salim Ahmed Salim   

 2.  Shamsi Vuai Nahodha       

 3.   Profesa Makame Mbarawa

 4.    Dk. Hussein Mwinyi  

 5. Samia Suluhu Hassan

 6.   Dk Maua Abeid Daftari      

 7.  Khadija Aboud

 Wamechaguliwa kwa kupigiwa kura na wajumbe wa NEC kutoka miongoni mwa majina 28 yaliyoteuliwa kugombea nafasi 14. Wapo saba kutoka Bara na saba kutoka Visiwani. chanzo Blog ya Bashir Nkoromo
.

 •  

Mambo ya lukwangule na Tuzo za Filamu

Kama kuna watu wanapenda sinema ni bolg ya lukwangule hebu wasome:
Argo katika kinyang’anyiro cha mwaka huu imetwaa tuzo tatu ikiwemo ya sinema bora.
Ben Affleck alitwaa tuzo ya dairekta bora kutokana na filamu yake hiyo inayozungumzia uokoaji wa wamarekani nchini Iran. Filamu hii pia ilikuwa bora katika tuzo za Golden Globes mwezi uliopita.
Daniel Day-Lewis alijipatia tuzo ya muigizaji bora katika filamu ya Lincoln, wakati muigizaji wa Mfaransa Emmanuelle Riva alikuwa muigiji bora wa kike katika filamu ya Amour.
Filamu ya James Bond ya Skyfall ilitwaa tuzo ya filamu bora ya Kiingereza won the award for outstanding British film.
Argo ilizuitandika katika kategori hiyo Les Miserables, Life of Pi, Lincoln na Zero Dark Thirty kutwaa filamu bora huku Affleck akimshinda Kathryn Bigelow, Michael Haneke, Ang Lee na Quentin Tarantino katika nafasi za udairekta.
Akizungumza kukubali tuzo Affleck alizungumzia kunyanyaswa kwake na Hollywood na kunyimwa heshima yake.
Washindi wa Bafta
Filamu bora – Argo
Dairekta – Ben Affleck
Muigizaji bora wa kiume – Daniel Day-Lewis, Lincoln
Muigizaji bora wa kike – Emmanuelle Riva, Amour
Muigizaji bora msaidizi wa kiume – Christoph Waltz, Django Unchained
Muigizaji bora msaidizi wa kike – Anne Hathaway, Les Miserables

Uyui: Husband day care center

husband-day-care-center 1 Re-blogged following a request. It is not a Center in the actual sense but a reminder that you should take care of your beloved.

Uyui: Tanzania receives prestigious Prizes on 7 wonders of Africa (Mbuga ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro na Ngorongoro vyang’ara)

Kilimanjaro 2The Citizen: Tanzania tourism sector received another boost yesterday when the country won three od the seven natural wonders of Africa. The Serengeti National Park, The Ngorongoro Conservation Area and the Mount Kilimanjaro. Tanzania imepata tuzo tatu kati ya saba za maajabu saba kwa Afrika. Tuzo hiyo imetolewa Mjini Arusha jana wakati Mlima Kilimanjaro, Eneo la Uhifadhi la Ngorongoro na Mbuga ya Serengeti zilipoibuka kidedea. Hongera sana TTB.

Uyui: Pope Benedict XVI to Step down February 2013 because of Advanced Age (Papa Benedict wa 16 Kuachia Upapa kwa Sababu ya Umri Mkubwa)

VATICAN POPEROME — Pope Benedict XVI, the former Cardinal Joseph Ratzinger who took office in 2005 following the death of his predecessor, said on Monday that he will resign on Feb. 28, the first pope to do so in six centuries. The pope, 85, said that after examining his conscience “before God, I have come to the certainty that my strengths, due to an advanced age, are no longer suited to an adequate exercise” of his position as head of the world’s Roman Catholics. Source: Newyork Times, BCC, CNN

Uyui: Katuni ya Mtu Kwao na Kijasti (Mchakato wa Vazi la Taifa)

kijasti

A 9-year-old girl in Mexico has reportedly given birth (Mtoto wa miaka 9 ajifungua)

Mtoto wa miaka 9 ajifungua kwa njia ya upasuaji. kwa sababu za maadili tumeshindwa kuweka picha

Zoquipan-Hospital-The girl, identified as “Dafne” by The Telegraph, reportedly delivered a 5.7 pound baby by cesarean section on Jan. 27 in Zoquipan Hospital in Jalisco, an area in western Mexico.The girl was 8 years old when she became pregnant. “This is a rape or child sex abuse case,” Corona added, according to the Agence France-Presse. The age of sexual consent in Mexico is 12, according to UNICEF.”The father is a boy who is 17, but we have not found him, since he ran away,” the mother of the girl told officials, according to the AFP.“Due to her young age, we don’t know if she is being entirely truthful,” Lino Ginzalez Corona, spokesperson at Jalisco State Prosecutor’s Office, said in a press conference, ABC reports.The new mother is one of 11 children, according to ABC, and her parents were unable to watch her while they worked.There have been only a handful of recent reported births among children this young, including a 10-year-old Colombian girl who gave birth last year, and a 9-year-old Chinese girl who gave birth to a healthy baby boy in 2010. Huffington post.
\

Uyui: Magazeti ya Leo kwa Ufupi: Tanzania News papers in nutshell

Yasemavyo Magazeti ya leo Ijumaa kwa Ufupi(the Friday papers in nutshell).

GAZETI LA HABARI LEO

 • Askofu Laizer afariki dunia: Askofu Dk Thomas Laizer wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Arusha amefariki dunia jana alasiri katika hospitali ya rufaa ya Selian iliyopo jijini Arusha. wakati huo huo TBC imeripoti kuwa Mheshimiwa Rais amemtumia salamu za rambirambi Askofu Mkuu Dk Alex Malalusa kufuatia  msiba huo. Uyui inaungana na Watanzania wote katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi.
 • Bunge lathibitisha mitaala: Bunge limethibitisha mitaala ya elimu iliyowasilishwa na Serikali bungeni ni halaali na haijachakachuliwa kwa mujibu wa Habari Leo. mitaala hiyo iliwasilishwa juzi bungeni  na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa baada ya kuombwa na Bunge wiliki iliyopita ili kuhakikisha Serikali inayo.
 • Uyui  kupanda miti ekari 418: Chama kikuu cha ushirika Kanda ya Magharibi WETCU kimesema kinahitaji miche ya kutosha ya miti mbalimbali ili kupanda katika ekari 418 za ardhi wilayani Uyui.

GAZETI LA MAJIRA

 • Wanaovaa nusu uchi kukiona: DC wa Wilaya ya Temeke ametaka wale wote wanaovaa nusu uchi kuchapwa viboko ili kulinda maadili. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema amewataka Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Maofisa Watendaji wote wilayani humo kuwachapa viboko wanawake na wanaume wotewanaokaa nusu uchi ili kulinda maadili.
 • Uzinduzi wa Vitambulisho vya Taifa: Mheshimiwa Rais amewaonya watendaji wa NIDA (Mamlaka inayosimamia Vitambulisho vya Taifa) kuwa makini kwa kutotoa vitambulisho kwa wasiostahili na pia amesema hatawavumilia wataokiuka maadili ya Kazi. Vitambulisho vya Taifa vimezinduliwa Jana katika tukio kubwa na la kihistoria kwa Tanzania.
 • Tuzo ya wanawake wenye Mafanikio kutolewa: Tuzo za wanawake wenye makfanikioi zimezinduliwa juzi na zinatarajiwa kufukia kilele chake machi 8 mwaka huu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanwake Duniani.

GAZETI LA THE CITIZENS

Tanzania is willing to host an international court to try Kenyan politicians Uhuru Kenyatta and William Ruto, who face charges of crimes against humanity in the 2008 post-election violence.

The two politicians and two others have been charged at the International Criminal Court (ICC) based at The Hague but there has been talk of shifting the cases to the Arusha-based International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR), whose mandate ends soon. Attorney General Frederick Werema told The Citizen that Tanzania “would be honoured” to host the cases of the Kenyan Deputy Prime Minister Kenyatta and Eldoret North MP Ruto, who are both running in next month’s General Election.They are jointly charged with the country’s former public service head Francis Muthaura and radio presenter Joshua arap Sang. The suspects have denied charges of masterminding the violence that left 1,333 people dead. Hundreds of thousands others were displaced.A senior ICTR official told reporters in Arusha this week that the international court was prepared to handle cases of the four Kenyans but the UN and the Tanzanian government must give it the go-ahead.

Mr Danford Mpumilwa, ICTR public relations officer, said the court cannot handle the cases unless the UN and the government of Tanzania give it the green light. “The ICTR was established by the UN Security Council to prosecute persons responsible for genocide and other violations of international humanitarian law committed in Rwanda,” he said. If the ICC wants the ICTR to prosecute Mr Kenyatta and Mr Ruto, it must put a request to Tanzania and the UN to allow such cases to be tried by the ICTR.

ICTR has state-of-the-art facilities to manage such a trial but there are procedures to be followed that are best handled by the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation.But Attorney-General Werema said the Tanzanian government had not received formal requests, either from the suspects or from The Hague, to have the cases transferred to Arusha. “We are aware that international law provides for shifting of cases such as those facing Mr Kenyatta and Mr Ruto and others from one international court to another, but it is The Hague that must initiate the process and not the suspects.”

Mr Ruto’s lawyers have reportedly applied to have the cases moved from The Hague to Arusha on the grounds that it would enable their client to fully participate in Kenya’s presidential campaigns as the country inches towards the March 4 General Election.

The ICC is believed to be willing to allow the ICTR to prosecute the two Kenyan politicians.
Mr Werema said The Hague was probably trying to establish whether the ICTR meets its basic conditions before it allows the move. Some of the things the ICC would be looking at include whether the ICTR is technically capable of handling the cases, the costs and whether there is enough security for both the suspects and the staff.

He added, however, that he believes the ICTR meets those conditions and “it will be a great honour for Tanzania to handle the cases. In fact, if I received the request from The Hague today I would expedite it and convince my colleagues to accept the request.”

Uyui: Super Mario Happy with debut

Balloteli afurahia mwanzo mzuri Italia: super mario

Mario Balotelli admits he wasn’t expecting to start, let alone score a brace on his Milan debut. “I’m happy it turned out like that.”SuperMario was meant to be on the bench, but thrown into the starting XI when Giampaolo Pazzini hurt his thigh in the warm-up, going on to score both goal in 2-1 win over Udinese.“I was supposed to be on the bench, but then Pazzo hurt himself so I played instead,” Balotelli told Sky Sport Italia.

“I’m happy it turned out like that, as I put in a good performance. We are strong in attack, even if I haven’t played much and feel my legs are heavy. I must work to improve my fitness levels. “It is a good start, but now I must continue scoring goals. We created a great deal this evening, but Daniele Padelli performed some good saves.“We deserved to win and in the end we did it.Sourcce: http://bleacherreport.com

Uyui: Tanzania News papers in nutshell (Magazeti ya Leo kwa Ufupi)

Yasemavyo Magazeti ya leo kwa Ufupi(Today’s papers round-up).

GAZETI LA HABARI LEO

 1. Muda wa maoni ya Katiba Umemalizika- Jaji Warioba: Tume ya Mabadiliko ya Katiba imekamilisha rasimu  kazi ya kukusanya maoni ya wananachi, makundi maalum na watu mashihiri. kukamilika kwa kazi hiyo kumetoa nafasu kwa Tume kuanza uchambuzi wa maoni hayo yote na kuandaa Rasimu ya Katiba onayotarajiwa kukamilika Mei mwaka huu.
 2. Wanaoishi maeneo ya upinzani hawatatengwa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kamwe hakitawatenga katika huduma za maendeleo Watanzania wanaoishi katika maeneo yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Ameyasema hayo wakati akitoa salamu katika Sherehe za Kimkoa za Miaka 36 ya kuzaliwa CCM zilizfanyika juzi katika Tawi la Mbezi Luis
 3. Tusisubiri Majanga kuchukua hatua (maoni ya mhariri): Mhariri anahimiza umuhimu wa kuchukua tahadhari kuhusu majanga kabla hayajatokea.  Hatua hizo ni pamoja na kufunga vifaa vya tahadhari kwa ajili ya kutadharisha endapo kuna dalili za moto. Katika kipindi cha siku chache jiji la Dar es salaam limekubwa na majanga ya moto ambapo jana vibanda vya biashara eneo la stendi ya Kawe vilishika moto.
 4. Siasa za matusi, kupigana ni kwa faida ya Nani? Ni makala (Wazo la Gloria Tesha). Katika makala hii Mwandishi anaonesha umuhimu wa amani kama kiini cha kujenga jamii yenye utu, uaminifu, uadilifu kwa ajili ya maendeleo.  Mwandishi anaonesha kukerwa na hali ya purukushani zinazoambatana na mambo ya siasa kama kungoa milingoti ya bendera ya baadhi ya vyama na vurugu katika maeneo mengine na anajenga hoja yake kuwa hekima ikitumika vizuri vurugu hizi haitakuwa na nafasi kwa sababu hazimnufaishi yoyote. Uyui Wordpress inaungana na Gloria na kuonesha kukerwa kwake na vurugu, fujo na ubabe kuwa sio kivutio kwa wananchi.

GAZETI LA NIPASHE

 1. Korea Kusini yafungua milango wafanyabiashara wa Tanzania: Korea ya Kusini imesema ipo tayari kufungua milango kwa ajili ya kushirikiana na wafanyabiashara wa Tanzania kuwekeza katika maeneo mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa jana na Balozi wa nchi hiyo nchini alipomtembelea ofisi kwake Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Bw Reginald Mengi.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.