Uyui: Tanzania News papers in nutshell (Magazeti ya Leo kwa Ufupi)


Yasemavyo Magazeti ya leo Jumamosi kwa Ufupi(the Saturday papers in nutshell).

GAZETI LA HABARI LEO
+Hoja iliyotolewa na Mbunge wa kuteuliwa Mheshimiwa James Mbatia yawa mwiba Bungeni.
+ Vitambulisho vya Taifa kuanza kutolewa Wiki hii (siku ya Alhamisi)
+ JK awaasa wanasiasa na Wanaharakati kutokuwa chanzo cha mifarakano katika jamii na umuhimu wa Taifa na wananchi kuzingatia amani umoja wa kitaifa na kutosikiliza kila kitu kinachosemwa bila ya wao kupima kauli hizo na kuzichuja.

GAZETI LA MWANANCHI
+ Mheshimiwa Rais amesema Bomba la Gesi haliendi Bagamoyo kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakisema.
+Vitambulisho vya taifa vya uraia vimekamilika na vinatarajia kuanza kutolewa wiki ijayo
+ Ajali ya Roli imeua watu 5 na kujeruhi wengine 34 Wilayani Mbarali
+ Wilaya ya Rungwe yafanikiwa kupunguza vifo vya kina mama

GAZETI LA UHURU
+ Mheshimiwa Rais, ameliambia taifa kuwa hakuna mkoa bora kuliko mwingine. Ameyasema hayo wakati wa hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa Januari aliyoitoa kwa njia ya televisheni kulihutubia taifa katika utaratibu aliojiwekea.
+ Chama cha Mapinduzi kimesema ipo haja kwa Serikali yake kuangalia upya kilichonukuliwa kama ” utitiri wa kodi” kwa wafanyabiashara (ndogondogo). Hayo yamesemwa wakati wa kuelekea kilele cha maadhimisho ya 35 ya chama hicho yatakayofikia kilele kesho tarehe 3 Februari 2013.Maadhimisho haya ni kumbukumbu muhimu kwa Chama Cha Mapinduzi kufikisha miaka 35 ya uhai wake yangu vyama vya TANU na ASP vilipovunjwa na kuundwa chama kipya cha CCM chenye nguvu, Februari 5, 1977

GAZETI LA JAMBO LEO
+ JK asema fujo na ghasia hazijengi. Ameyasema hayo katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi kufuatia vurugu zilizojitokeza mkoani Mtwara hivi karibuni kuhusu sakata la gesi. Mheshimiwa Rais amewakata wananchi kulinda amani na kuchuja mambo wanayoambiwa.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: