Uyui: Tanzania News papers in nutshell (Magazeti ya Leo kwa Ufupi)


Yasemavyo Magazeti ya leo kwa Ufupi(Today’s papers round-up).

GAZETI LA HABARI LEO

  1. Muda wa maoni ya Katiba Umemalizika- Jaji Warioba: Tume ya Mabadiliko ya Katiba imekamilisha rasimu  kazi ya kukusanya maoni ya wananachi, makundi maalum na watu mashihiri. kukamilika kwa kazi hiyo kumetoa nafasu kwa Tume kuanza uchambuzi wa maoni hayo yote na kuandaa Rasimu ya Katiba onayotarajiwa kukamilika Mei mwaka huu.
  2. Wanaoishi maeneo ya upinzani hawatatengwa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kamwe hakitawatenga katika huduma za maendeleo Watanzania wanaoishi katika maeneo yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Ameyasema hayo wakati akitoa salamu katika Sherehe za Kimkoa za Miaka 36 ya kuzaliwa CCM zilizfanyika juzi katika Tawi la Mbezi Luis
  3. Tusisubiri Majanga kuchukua hatua (maoni ya mhariri): Mhariri anahimiza umuhimu wa kuchukua tahadhari kuhusu majanga kabla hayajatokea.  Hatua hizo ni pamoja na kufunga vifaa vya tahadhari kwa ajili ya kutadharisha endapo kuna dalili za moto. Katika kipindi cha siku chache jiji la Dar es salaam limekubwa na majanga ya moto ambapo jana vibanda vya biashara eneo la stendi ya Kawe vilishika moto.
  4. Siasa za matusi, kupigana ni kwa faida ya Nani? Ni makala (Wazo la Gloria Tesha). Katika makala hii Mwandishi anaonesha umuhimu wa amani kama kiini cha kujenga jamii yenye utu, uaminifu, uadilifu kwa ajili ya maendeleo.  Mwandishi anaonesha kukerwa na hali ya purukushani zinazoambatana na mambo ya siasa kama kungoa milingoti ya bendera ya baadhi ya vyama na vurugu katika maeneo mengine na anajenga hoja yake kuwa hekima ikitumika vizuri vurugu hizi haitakuwa na nafasi kwa sababu hazimnufaishi yoyote. Uyui Wordpress inaungana na Gloria na kuonesha kukerwa kwake na vurugu, fujo na ubabe kuwa sio kivutio kwa wananchi.

GAZETI LA NIPASHE

  1. Korea Kusini yafungua milango wafanyabiashara wa Tanzania: Korea ya Kusini imesema ipo tayari kufungua milango kwa ajili ya kushirikiana na wafanyabiashara wa Tanzania kuwekeza katika maeneo mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa jana na Balozi wa nchi hiyo nchini alipomtembelea ofisi kwake Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Bw Reginald Mengi.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: