Mambo ya lukwangule na Tuzo za Filamu


Kama kuna watu wanapenda sinema ni bolg ya lukwangule hebu wasome:
Argo katika kinyang’anyiro cha mwaka huu imetwaa tuzo tatu ikiwemo ya sinema bora.
Ben Affleck alitwaa tuzo ya dairekta bora kutokana na filamu yake hiyo inayozungumzia uokoaji wa wamarekani nchini Iran. Filamu hii pia ilikuwa bora katika tuzo za Golden Globes mwezi uliopita.
Daniel Day-Lewis alijipatia tuzo ya muigizaji bora katika filamu ya Lincoln, wakati muigizaji wa Mfaransa Emmanuelle Riva alikuwa muigiji bora wa kike katika filamu ya Amour.
Filamu ya James Bond ya Skyfall ilitwaa tuzo ya filamu bora ya Kiingereza won the award for outstanding British film.
Argo ilizuitandika katika kategori hiyo Les Miserables, Life of Pi, Lincoln na Zero Dark Thirty kutwaa filamu bora huku Affleck akimshinda Kathryn Bigelow, Michael Haneke, Ang Lee na Quentin Tarantino katika nafasi za udairekta.
Akizungumza kukubali tuzo Affleck alizungumzia kunyanyaswa kwake na Hollywood na kunyimwa heshima yake.
Washindi wa Bafta
Filamu bora – Argo
Dairekta – Ben Affleck
Muigizaji bora wa kiume – Daniel Day-Lewis, Lincoln
Muigizaji bora wa kike – Emmanuelle Riva, Amour
Muigizaji bora msaidizi wa kiume – Christoph Waltz, Django Unchained
Muigizaji bora msaidizi wa kike – Anne Hathaway, Les Miserables

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: