Uyui: Jengo jingine jirani latolewa tahadhari

 

Jengo Jingine la jirani latolewa tahadhari: Ni linalojengwa na mkandarasi huyo huyo

Jengo Jingine limetolewa Tahadhari

Alert has been issued to ask the Public to take all the necessary precautions following the suspicious state and stability of the adjacent building that is also built by the same contactor who built the collapsed building. The alert has been relayed by the National Televion TBC this morning.

Advertisements

Uyui: Tanzania News papers in nutshell (Magazeti ya Leo kwa Ufupi)

Yasemavyo Magazeti ya leo kwa Ufupi(Today’s papers round-up).

Jengo la Ghorofa 16 limeporomoka na kusababisha vifo vya watu 17 Dar.


Magazeti yaripoti takwimu tofauti kuhusu ajali hiyo

Jengo laporomoKA Dar

A Building collapsed in Dar, recent report from DCP Suleman Kova (with Chanel Ten telephone interview) this morning revelled that 17 People have been Killed. Rescue Operations in full force at the tragedy site..

Nipashe: Mkandarasi wahandisi watu 4 na watumishi wa Manispaa wanashikiliwa na polisi. Mmiliki wa Jengo alijisalimisha. Rais Mhe Dr. JK atembelea na kutoa maagizo, ametoa pole kwa wafiwa na majeruhi. Amewapongeza na kuwashukuru wananchi wote na taasisi mbalimbali zinazoendelea na zoezi la uokozi

Tanzania Daima
: Ni uzembe tena! Ujenzi chini ya viwango ni moja ya sababu zilizosababisha jengo la ghorofa 16 kuporomoka.
Majira: linaandika kuwa “Siri Yafichuka”. Gazeti la Majira linamkariri Meya wa Manispaa ya Ilala Mstahiki Jerry Silaa akisema kuwa mjenzi wa Jengo hilo alikiuka kibali cha ujenzi wa ghorofa 10 ambapo inasemekana alizidisha.
Jambo Leo: limebeba kichwa cha habari “Mtikisiko” katika kuelezea ajali hiyo.
Zanzibar Leo: Maafa Dar. Jumba la ghorofa 16 laporomoka Dar.
Uyui wordpress:
DAR ES SALAAM, A 16-storey building collapsed in downtown of Dar es Salaam, Tanzania, on Friday morning, with over 60 people trapped. The Deputy Commissioner of Police DCP Selemani Kova in an a telephone interview with local Television (Chanel ten) this morning said 17 people have been killed.The building was still under construction before the collapse. Hundreds of rescuers and local people rushed into the site and started excavating.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.