Uyui: Salute to Simba Asst Coach Jamhuri Kihwelo “Jullio” despite loosing a game over Yanga


Jamhuri Kihwelo ni Mwanamichezo wa kupigiwa mfano.

julioo the real footballerNilikuwa naangalia pambano la Simba na Yanga mwanzo hadi mwisho. Niliona kitu kimoja nadra sana kuonekana katika soka la Tanzania, hasa katika miaka ya karibuni. Ni Julio. Jamhuri Kihwelo, kocha msaidizi wa Simba na mchezaji wa Zamani wa timu hiyo na timu ya Taifa. Mara baada ya kipenga cha mwisho aliingia uwanjani kuwapa moyo wachezaji wake na pia kuwapa mkono wachezaji wa Yanga. Kuna vyombo vya habari vilionyesha akiongea na Nadiri Haroob (Canavaro wa Yanga). Wakati watu wengine wakitoka nje ya uwanja kwa hasira au majonzi, Jullio, kama kamanda alijua kuwa kushindwa pambano sio kushindwa vita. Alichokifanya kwa wachezaji wake wa Simba ni kikubwa, aliwapa moyo hasa ikizangatiwa kuwa wengi ni chipukizi na damu changa. Kwa Yanga aligusa pia yonyo zao kuwa huu ni mchezo na sio vinginevyo. Wengi hawawezi kufanya yale aliyoyofanya Julio hata kwa kuigiza. Wengi wa viongozi hukimbilia kutafuta visingizio hasa kwenye soka letu hili. Si lazima tujifunze kwa makocha wa nje kwa kila kitu. Somo la Julio lisipite hivihivi, bahati njema Uyui tumeona na tumeona haya ndio mambo ya kuigwa. kikubwa ni kujipanga kwa sababu Simba akinyeshewa mvua bado ni Simba yule yule na Siku akayonguruma, mcheza akakuwa nani?Kufungia Stori 1

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: