Uyui: Comedian SHOTI dies at 30

A young entertaining comedian Abdalah salumu (30) popularly known as SHOTI passed away in Mwananyamala Dar es Salaam yesterday evening. A close friend of SHOTI who was a counterpart and co-artist to late SHOTI informed Uyui that death took away SHOTI around 18 hrs CAT. According to HASARA, SHOTI was suffering from ulcers and he was receiving treatment at Mwananyamala Municipal Hospital, where at times he was hospitalized.
Burial arrangements are being made at Tandale area closer to Yemeni Bus stand. it was too early to establish if he will be rest to piece in Dar es Salaam or to his native place Mzenga in Kisarawe Cost Region.
During his lifetime SHOTI gained a quick popularity through his comic actions and the way he promoted products of some public and private firm especially mobile companies. For the Dar residents who used attended Bonanza at Leaders Club in 2005-2007 where the African Star Band TWANGA PEPETA used to perform, they will definitely recollect who was SHOTI and HASARA. Rest in Peace SHOTI.

Advertisements

Uyui: Bayen won the Super Cup

Bayen Munich survived by leveling during during stopwatch’s time of extra time and managed to win penalty shoot-out against Chelsea in a thrilling game of super cup match that ended early today. It was Chelsea who started to net home their first goal before Bayen equalized. It was again Chelsea who scored the second goal that looked to put the matter to bed before Bayen emerged in the dying seconds to level the game in the extra time. Lukaku would consider himself as unfortunate after his penalty was saved by Bayen goal keeper but all in all that was a game and only one time was to emerge as a super champion of Europe.

Uyui: Msanii wa Komedi Abadallah Salum SHOTI Afariki Dunia

Msanii wa maigizo ya vichekesho maarufu kama Komedi aitwaye SHOTI (30) amefariki dunia jijini Dar es salaam jana jioni majira ya saa 12 katika hospitali ya Mwananyamala.
Habari kutoka kwa msaani mwenzake wa karibu aliyekuwa akishirikiana naye Rashidi Omari au HASARA zimesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo kabla ya umauti kumkuta. HASARA amesema msiba uko maeneo ya Tandale karibu na kituo cha YEMEN na kwamba huenda akazikwa leo Jumamosi ama jijini Dar es salaam au kwao Mzenga. Enzi za uhai wake marehemu alikuwa maarufu katika sanaa ya maigizo ya Komedi na katikati ya miaka ya 2005 alikuwa akitoa burudani katika viwanja vya Leaders Club hasa siku za mwisho wa wiki wakati wa Bonanza ambako Bendi ya Twanga Pepeta ilikuwa ikiburudisha na yeye pamoja na mwenzake kupewa nafasi ya kuburudisha. Ameshiriki katika promosheni ya Taasisi kadhaa na kufanya vipindi katika baadhi ya Radio za FM hapa jijini Dar es salaam. Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Abdalah Salumu.

Uyui: Tabora yapata msiba wa kuondokewa na Wazee 3 Muhimu

Wazee watatu ambao ni moja ya alama na historia ya mji wa Tabora wamefariki katika wiki hii. Wazee hao ni Mzee Baraka Kitenge (Askari) ambsye alikuwa mchezaji wa zamani ya timu ya yanga na baba wa mtangazaji wa Radio One Maulid Kitenge. Watu wa tabora hasa wa barabara ya Ujiji na eneo la minazi Mikinda na chemchem kwa kina Abdallah Abbas (Gobosi) na Amrani, Jina hili ni maarufu. Tabora inapoteza watu muhimu na Uyui inaanza kupata hofu kuwa huenda historia inaanza kufutika. Mzee mwingine ni Mzee Kisigo Daudi wa Chemchem, mtaa wa Amani ambaye amefariki leo majira ya saa tano asubuhi. Mwingine ambaye habari zake tumezipata usiku huu ni Mzee Jaafar Mgumia. Huyu alikuwa mwalimuna amelea wanafunzi wengi ambao leo hii wanatumikia taifa katika majukumu mbalimbali. Hbari za Mwalimu mgumia tutazithibitisha zaidi na kuelezea mipango ya mazishi ya Mzee Kisigo kwani Mzee Kitenge amezikwa leo kule jijini Dar. Ni machozi ambayo ni vigumu kuvfutika kwa sasa lakini tuna imani kuwa Mwenyezi Mungu atawapokeq mashujaa hawa kwa sababu walikuwa ni watu wema walioacha mambo mema. Vijana mliobaki unganeni muinue Tbora ambayo wezee wetu waliijenga na kuipa ubora ambao bado haujaingia katika hostoria kikamilifu.

uyui: Mabadiliko ya Makatibu Wakuu Yatajwa leo

Makatibu Wakuu wapya, waliopangiwa sehemu nyingine na waliostaafu na wakaopangiwa kazi wametajwa jioni hii jioni Dar Es Salaam. Taarifa na orodha kamili tutawawekea muda si mrefu.

Tabora to Host Eid El Fitry ( This Thursday or Friday)

                 TABORA KUADHIMISHA SIKUKUU YA EID KITAIFA

 

Eid El-Fitry day for this year will be marked in Tabora this week. Apparently it will be this week but the actual day largely depends upon shinning of the moon. Eid marks the end of the holy month of Ramadhan during which moslems fasted for the month.

We wish our beloved reader a peaceful and enjoyable Eid. Just be moderate in your celebrations. This definitely will be a loooooong week-end.

 

Sherehe za sikukuu ya Eid mwaka huu zitaadhimishwa kitaifa mkoani Tabora. Ni dhahiri kuwa itakuwa wiki hii lakini siku hasa haijulikani kwa sababu inategemea kuandama kwa mwezi. Katika mwezi wa Ramadhani waislamu duniani kote walifunga kwa mwezi mzima.

Tunawatakia wapendwa wasomaji wa Uyui sikukuu njema. furahini lakini kwa kiasi. Kwa vyovyote vile siku hizi zitakuwa ni moja ya siku nyingi za kupumzika katika juma hili.

Kufungia Stori 1

 

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.