Uyui: Tabora yapata msiba wa kuondokewa na Wazee 3 Muhimu


Wazee watatu ambao ni moja ya alama na historia ya mji wa Tabora wamefariki katika wiki hii. Wazee hao ni Mzee Baraka Kitenge (Askari) ambsye alikuwa mchezaji wa zamani ya timu ya yanga na baba wa mtangazaji wa Radio One Maulid Kitenge. Watu wa tabora hasa wa barabara ya Ujiji na eneo la minazi Mikinda na chemchem kwa kina Abdallah Abbas (Gobosi) na Amrani, Jina hili ni maarufu. Tabora inapoteza watu muhimu na Uyui inaanza kupata hofu kuwa huenda historia inaanza kufutika. Mzee mwingine ni Mzee Kisigo Daudi wa Chemchem, mtaa wa Amani ambaye amefariki leo majira ya saa tano asubuhi. Mwingine ambaye habari zake tumezipata usiku huu ni Mzee Jaafar Mgumia. Huyu alikuwa mwalimuna amelea wanafunzi wengi ambao leo hii wanatumikia taifa katika majukumu mbalimbali. Hbari za Mwalimu mgumia tutazithibitisha zaidi na kuelezea mipango ya mazishi ya Mzee Kisigo kwani Mzee Kitenge amezikwa leo kule jijini Dar. Ni machozi ambayo ni vigumu kuvfutika kwa sasa lakini tuna imani kuwa Mwenyezi Mungu atawapokeq mashujaa hawa kwa sababu walikuwa ni watu wema walioacha mambo mema. Vijana mliobaki unganeni muinue Tbora ambayo wezee wetu waliijenga na kuipa ubora ambao bado haujaingia katika hostoria kikamilifu.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: