Uyui: Chuo cha Uhazili na Umaarufu wake Tabora


https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg?w=1042&h=47

10 Responses to “Uyui: Chuo cha Uhazili na Umaarufu wake Tabora”

 1. fatma Says:

  naitaji kujua sifa za kujiunga na chuo cha uhadhiri tabora , ada yake na muda wa kujiunga. nipo mbali na mazingira ya chuo

 2. Agnes Says:

  napenda kujua sifa za kujiunga na form wap zinapatkana pia masomo yanaanza lini kwa mwaka 2017

 3. Jeremiahgration Says:

  Naitwa jeremiah gration nki kigoma nilkuwa nataka nijue sifa zip za kujiunga uhazili tabora na ada yake
  naomba mnisaidie kwa hili

 4. sarah Says:

  mimi naitwa sarah nakaa mwanza nipenda kujiunga na chuo cha uhazili nimesoma computer na fullsecretary kwa miaka miwili napenda kujiunga na chuo ningependa kujua ada zenu na je? kama uko mbali inakuaje?

 5. Anonymous Says:

  Msaada jaman,hivi hapo uhazili kuna kozi ya IT

 6. Rhoda Alex Says:

  Mimi ni Rhoda Alex to Arusha, napenda kujua mafunzo ya Diploma ya uhazili yanachukua muda gani na gharama yake ni kiasi gani na yanafundishwa kwa lugha gani, na sifa za mtu anayetaka kujifunza.
  Pia na hati mkato inafundishwa kwa muda gani na gharama yake ni kiasi gani na ni kwa lugha gani. na pia ukipata nafasi unaishi chuoni au unapanga? Tafadhali nisaidie, uwe na siku njema

 7. ELIUTA PATRICK Says:

  Tanks for information this Monday i will come

 8. ELIUTA PATRICK Says:

  Kutaka kuaply kufundisha chuo cha uhazili tabora mimi ni graduater naishi hapa tabora


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: