Uyui: Taswira kutoka Posta ya Zamani Dar Es Salaam

Mji wa Watani zetu Wazaramo Maeneo ya Posta ya Zamani

Mji wa Watani zetu Wazaramo Maeneo ya Posta ya Zamani na Ujenzi wa Njia za Mabasi ya Mwendo Kasi

Uyui: (Tabora coin) Sio wengi wanaojua kuwa Tabora ilikuwa na Sarafu yake ya dhahabu 1916

Kufungia Stori 1

The 1916 “Tabora Pound” – 15 Rupien Gold Coin
from German East Africa

Commercial banking was introduced in German East Africa in 1905, when the Deutsch-Ostafrikanische Bank opened its office in Dar es Salaam. This bank had a concession from the German Government to issue its own notes and coins, which helped the bank to meet the demand for coins in exchange for its notes. In 1911, another German bank, the Handelsbank fuer Ostafrika, opened a branch in Tanga. Then came the first world war.The “Tabora Pound”, a gold coin valued at 15 Rupees, was designed by mining industry expert Friedrich Schumacher at Tabora and weighs 6.8 gram (gold).

Pauni ya dhahabu ya Tabora ya mwaka 1916  ya dhahabu iliyokuwa na thamani ya Rupia 15″Tabora Pound”

Pauni ya Tabora ya dhahabu (sarafu)  kama inavyoonekana kwenye picha

Pauni ya Tabora ya dhahabu (sarafu) kama inavyoonekana kwenye picha

Benki ya Kibiashara ilianzishwa na Utawala wa Wajerumani Afrika ya Mashariki mwaka 1905 wakati Benki ya Deutsch-Ostafrikanische ilipofungua ofisi yake Jijini Dar es Salaam. Benki hii ilikuwa na idhini kutoka Serikali ya Ujerumani ya kutoa sarafu na noti zake ili kuiwezesha kutimiza mahitaji ya ubadilishaji wa sarafu kwa noti. Ilipofika mwaka 1911 Benki nyingine ya Kijerumani iitwayo Handelsbank fuer Ostafrika ilifungua tawi lake Tanga, baada ya hapo vita vikuu vya kwanza vya Dunia vikatokea. Pauni ya Tabora, ya dhahabu yenye thamani sawa na rupia 15 ilibuniwa na mtaalamu wa Sekta ya madini Friedrich Schumacher hapo Tabora na ilikuwa na uzito wa gramu 6.8 (ikiwa ni dhahabu)

 

 

 

Kufungia Stori 1

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.