Shem Karenga: Nyota ya Magharibi imeondoka


Taarifa za masikitiko makubwa ambazo Uyui imezipata ni kuwa Mzee Shemu Ibrahimu Karenga (Giwji wa muziki wa Tabora Jazz) amefariki dunia leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo Mtaa wa Ufipa Kinondoni na mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho siku ya Jumanne saa 10 Alasiri katika makaburi ya Kisutu. Maziko hayo yatatanguliwa na Sala itakayofanyika katika Msikiti wa Ijumaa wa Manyema, Kariakoo.

Uyui tunatoa pole nyingi kwa Familia,ndugu na Jamaa wote. Wapenzi, mashabiki na wanamuziki wote. Poleni sana Tabora na Kigoma. Katika mwezi huu wa Disemba, 2014 Mzee Mlekwa ambaye alikuwa Kiongozi wa Bendi na Mmiliki wake naye amefariki dunia na kuzikwa hapa hapa Dar es salaam wiki moja na nusu iliyopita

Sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.  Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Milele.

Advertisements

One Response to “Shem Karenga: Nyota ya Magharibi imeondoka”

  1. Kondo Musa Says:

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi- Amin


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: