Uyui: Wishing You a Prosperous 2016

Dear all
We appreciate for the cordial support you have accorded to Uyui during the year 2015. We wish you all the best in 2016. With God’s wish, we will be bringing more informative news, untold information and other creative stories about Tabora, most of which you have never had. Sharing is caring. We appreciate all those who took their valuable time, to share with us something worthy about Tabora, Uyui, good life about Tabora and related issues.
For us, history is not the past, but a reference point and something worthy enough to take well educated people and elite to spent their time to took into the past. We shall be looking for BOTH, THE PAST AND FUTURE. Asanteni sana. Karibuni sana. Kama kuna yeyote anacho cha ku-share atupatie na kwa ridhaa yake tutashare.
HAPPY NEW YEAR

UYUI TEAM

TABORA

Tabora and its bicycles. When you came across with more bicycles then you are there.

Its All about The Place

View original post

Uyui: Tabora na Taswira yake

Uyui: Picha na Taswira za Mboka kwa Nyakati tofauti

https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg

NSSF ILIANZA KUPENDEZESHA TABORA Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Lilikuwa miongoni mwa Mashirika ya Mwanzo kabisa kuwekeza Tabora ujenzi mkubwa.

https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg?w=1042&h=47

CRDB TABORA Benki inayosikiliza Mteja CRDB Nao hawako Nyuma, Ofisi yao inatazamana na Uliokuwa uwanja wa Chipukizi. picha kwa hisani

https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg?w=1042&h=47

rafiki guest house Enzi Hizooooo!!!!! Nyumba ya kulala Wageni iitwayo Rafiki. ilikuwa maeneo ya Stendi ya zamani ya Mabasi

https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg?w=1042&h=47

Kuelekea Isevya Kuelekea Isevya, hapa ni maeneo ya stesheni

https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg?w=1042&h=47

Uyui: Ahmed Amasha (DC Suleiman Kumchaya ndiye alimpa Jina “Mathematician” Likadumu

"The Mathematician"

The Mathematician”

Ahmed Abdul Thabit Maarufu kama Amasha, ni mmoja wa wachezaji wachache mahiri ambao klabu ya Yanga na Taifa hili limeweza kuwapata katika historia ya Soka la nchi yetu. Beki Mahiri, mwenye akili na ujuzi ambaye ni mmoja wa Nyota kadhaa waliong’ara katika ulimwengu wa Soka la Tanzania wakitokea mkoa wa Tabora. Wengine wachache ni pamoja na Abdallah mwinyimkuu (Pele wa Gongoni) na Marehemu Said Mwamba Kizota (RIP), Hamis Kinye na wengineo wengi ambao wametikisha katika Anga la soka la nchi hii na hata nje ya mikapa.

Amasha, kutoka mtaa wa Salmini, chemchem Tabora ambaye alipata masomo yake ya Sekondari katika Shule ya Kazima ya Tabora alikuwa akiitwa mathematician kutokana na uchezaji wake mahiri lakini sio wengi wanaojua chimbuko la jina hilo. Jina hilo lilitokana na jinsi Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mheshimiwa Suleiman Omar Kumchaya wakati huo akiwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) sasa hivi TBC TAIFA.

Ilikuwa ni katika mojawapo ya mechi za mpira wa mguu ambazo Mheshimiwa Kumchaya alikuwa akitangaza. lilitokea tukio moja ambao Ahmed Amasha alimpiga chenga mchezaji wa timu pinzani. Kwa namna aliyoipiga chenga ila Suleiman Kumchaya alitangaza redioni kuwa chenga ile kwa namna yoyote isingeweza kupigwa na mtu asiyejua hesabu. Alirudia kauli ile tena na tena na akasema kwa vyovyote iwavyo Ahmed Amasha ni lazima awe mwana mahesabu vinginevyo asingeweza kuipiga chenga ile. Tangu wakati ule jina la Mathematician likadumu na kustawi katika uchezaji wake mahiri katika soka.

Yapo mengi ya kujifunza kwa wachezaji wetu na yapo mengi ya kusimulia kutoka kwa vijana shupavu wa nchi hii wengi wakiwa kutoka Tabora ambao mchango wao katika Taifa letu utabaki kama kielelezo cha umahiri na kupigiwa mfano. Asante sana Ahmed Amasha Mathematician.

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.