Kupatwa kwa Jua Tareje 1 Septemba, 2016 Tahadhari yatolewa (A caution over Sun Eclipse)

Kupatwa kwa Jua Tareje 1 Septemba, 2016 Tahadhari yatolewa watu wasiliangalie jua kwa macho makavu bila vifaa au miwani maalum 

Sun Eclipse artwork: Courtesy of the Daily News

Sun Eclipse artwork: Courtesy of the Daily News

People have been cautioned not to watch the Sun with bare eyes nor without proper gadgets during the Sun Eclipse.

Lile Jengo karibu na Uyui sekondari sasa lina umri wa miaka 113

A heritage building that clicks 113 years.

Lile Jengo sasa lina umri wa miaka 113

Lile Jengo karibu na Uyui sekondari sasa lina miaka 113 na linafaa kuwa makumbusho- Simile msije kulibomoa!!!.

We had talked about this building in our previous posts but with little details. This Building was built in 1913 and now its 113 years old. It is at the Junction or roundabout of Uyui secondary, HR (Mwenge Primary school), Teachers College (TTC), Kassu filling station and Uwanja wa VITA.
It was not easily known which Authority is currently taking care of the historical building, and some People had a thought that it should be considered as one of the heritage (Museum) and therefore should not be demolished. Picture by the Courtesy of Mdau.

Tulisha wahi kusema kidogo kuhusu jengo hili katika siku za nyuma lakini bila maelezo ya kina. Jengo huli unaloliona lilijengwa mwaka 1913 na sasa limetimiza umri wa miaka 113. Lipo katika makutano ya Shule ya Sekondari ya Uyui, Shule ya Msingi ya Mwenge, Chuo cha Ualimu (TTC) na Kituo cha Mafuta cha zamani cha Kassu pamoja na uwanja wa zamani wa mpira wa kumbukumbu ya Vita. Haijulikani kwa sasa jengo hili lipo chini ya usimamizi wa mamlaka ipi lakini kumekuwa na maoni kuwa liwe sehemu ya urithi wa taifa na liwe makumbusho ili lisijekubomolewa. Picha kwa hisani ya mdau.

 

Uyui Vijana wa Tanu Youth League

Vijana wa Tanu Youth League wa Shule ya Sekondari ya Uyui mwaka 1969. Picha kwa hisani ya Dr Abdulghany Mohammed.

Vijana wa Tanu Youth League wa Shule ya Sekondari ya Uyui mwaka 1969. Picha kwa hisani ya Dr Abdulghany Mohammed

Vijana wa Tanu Youth League wa Shule ya Sekondari ya Uyui mwaka 1969. Picha kwa hisani ya Dr Abdulghany Mohammed

Uyui: Do you remember Kiwere saw mills? if not just read this from Roomina

Wow I stumbled across this site while searching for Kiwere Sawmills. My grandfather started the business and my dad and his brothers took over when he passed away. My family was very well known in Tabora in those days. Unfortunately, we left Tabora in Nov 1975.

How we all still mis home. It’s been 40 years but Tabora is still our home and in our hearts.

My brother and I both went to Uyui, he was in form 2 and I was in form 1 when we left. Some of my classmates were Tabrez, Safeer, Munisha , Saida and Priti. I’ve met Tabrez and have Munisha on my FB. Would love to know where the rest are.

I remember Amiri’s mogo (may his soul rest in eternal peace ) and I remember the stadium. My brother used to go there to watch the games. His favorite team was Simba.

Really miss those days

 

 

Uyui: Mwalimu Kandubhai Patel

Mwalimu Kandhubhai Patel na Wanafunzi wake pamoja na watu wa Tanu Youth League mwaka 1969.

kutoka kushoto ni Marehemu Mw. Edwin Kisanji, Abdulghany Mohamed (Katibu wa Vijana), Marehemu Mw. K. Patel (Headmaster, Uyui), Thompson (Mwenyekiti wa Vijana) na instructor wa gwaride kutoka Ofisi ya Wilaya (TANU Youth League). picha kwa hisani ya Dr Abdulghan Mohammed

Picha kutoka Maktaba: Waliosimama kutoka kutoka kushoto ni Marehemu Mw. Edwin Kisanji, Abdulghany Mohamed (Katibu wa Vijana), Marehemu Mwl. K. Patel (Headmaster, Uyui), Thompson (Mwenyekiti wa Vijana) na instructor wa gwaride kutoka Ofisi ya Wilaya (TANU Youth League). Picha hii ni kwa hisani ya Dr Abdulghany Mohammed

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.