Tabora Sky awaits to flag National Carrier Brand new ATCL Bomberdier Q 400

Ndege Mpya 2 ATCL  zazinduliwa 28 Septemba, 2016

NDEGE mpya 2 aina ya Bomberdier Dash 8 Q 400 zimezinduliwa leo tarehe 28 Septemba, 2016 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Habari Zaidi na picha tutawaletea.

THE first of the two Bombardier Q400NG destinated to Air Tanzania are ready to be ferried from the Bombardier assembly plant. The ferry flight is expected to take an estimated 3 days after taking off from Canada on September 16 before the aircraft then lands, tentatively on September 20 in Dar es Salaam International Airport. Tabora Airport is one of the ATCL destination and it is expected that the new flights will be scheduled to land at Tabora Airport as has been the case. Bravo ATCL

bomberdier-atcl

1. Air Tanzania Q 400 with temp reg C-FIFG on final. On 16th September the aircraft was expected to take off for delivery to Tanzania via Malta. Photo by Courtesy of : Frederik K. Larkin Photo

atcl-caption-2

2. Air Tanzania new Bombardier Q400 msn 4492 temp reg C-FHNF. Photo courtesy by:Flickriver

bomberdier-atcl

3. Ndege Mpya ya ATCL ikiwa katika matayarisho ya mwisho kabla ya kuwasili nchini

atcl-2

4. Moja ya Ndege Mpya za ATCL inayotarajiwa kuwasili nchini tarehe 20 Septemba, 2016

Courtsy: http://www.angelfire.com/falcon/african/airtanzania.html

NDEGE hizo aina ya Bimbardier Q 400 zimenunuliwa kutoka Canada ikiwa ni mkakati wa kuliimarisha Shirika la ATCL na usafiri wa anga. Ndege mojawapo (ya kwanza) itakayowasili nchini tarehe 20 Septemba, 2016. Ndege hiyo aina ya Dash 8-Q 400 ina uwezo wa kubeba abiria 70. Kwa mujibu wa Gazeti la Mzalendo la Tanzania, ndege hiyo imeelezwa kama ni ndege ya kizazi kipya yenye gharama nafuu kwenye uendeshaji na ukarabati

 

Advertisements

Welcome “karibu” to Tabora (Mboka or Kazeh) and to Uyui- by Maganga Feruzi

The map of Tabora Tanzania, Mboka or Kazeh (magangaferuzi@gmail.com)

Thanks for visiting this site and you will never regret.Welcome to this wonderful and informative site of Uyui. Uyui is at the heart of Tabora Region (Young Generations called it- MBOKA and Elderly they used to KAZEH) in the western part of the United Republic of Tanzania. Not many people are aware of its beauty and the compassionate of its people. The Wanyamwezi, a popular tribe whose people are lovely and full of aptical culture that is demonstrated by their simple life. Wanyamwezi are the local residents of Tabora.Karibu (welcome) to Uyui so that you can learn the untold story and the wonderful lifestyle of Wanyamezi Tribe (Wanyanyembe, Wakonongo, Wasumbwa etc).

Write to us magangaferuzi@gmail.com  tuandikie magangaferuzi@gmail.com

Kufungia Stori 1

All the best “the might” Serengeti Boys

U-17 National Team, Serengeti Boys

U-17 National Team, Serengeti Boys

TIMU ya Taifa ya vijana wa umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys, kesho inajitupa dimbani kuchuana na wenzao wa Congo Brazaville katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani.

Sisi wa Uyui tunaitakia kila la heri timu yetu hii ya vijana. Hii pia inatukumbusha enzi ya timu ya Chipukizi pale Tabora ambapo Buruda Damiano wa Mihayo alikuwa akichuwa muda mwingi kushughulika na soka la vijana hasa chipukizi na matokeo yake alitoa wachezaji bora na imara walioliwakilisha taifa. Kila la heri Serngeti boys. Vyovyote iwavyo ninyi ni mashujaa wa taifa letu. kitu cha msingi ni kuishangilia timu yetu mwanzo mwisho na kuhakikisha tunasonga mbele. Kingine ni kuhakikisha kuwa timu hii inadumu. Tunajua hili lina gharama zake, tunajua pia vipo vilabu vitataka kuwavuta vijana hawa ili wasajiliwe na timu zao. ifike mahali tujifunze na tupige hatua kama hii tuliyoanza sasa.
Kufungia Stori 1

Asali ya Tabora ni salama kwa matumizi

Asali ya Tabora ni salama kwa matumizi 

THE traditionally produced honey in Tabora region is safe for human consumption, the Minister for Industries, Trade and Investment, Mr Charles Mwijage, told the National Assembly yesterday.

He assured the general public and traders that the product meets quality standards, currently stipulated by Tanzania Bureau of Standards (TBS). Responding to questions posed by Tabora Urban MP Emmanuel Mwakasaka (CCM) here yesterday, the minister said the government was working with the United Nations Development Programme (UNDP) and Tanzania Trade Authority (TanTrade) to analyse market opportunities.
Investment for a honey processing plant costs about 50 million US dollars (109 bn/-), he said. “This can help Tanzania produce 5,000 tonnes a week and 260,000 a year,” Hon Mwaijage told parliamentarians.

He was responding to a supplementary question from the MP which demanded the government assurance regarding claims that Tabora produced honey was not suitable for human consumption. The MP also had asked the government plan to build honey quality assurance laboratory in Tabora.“Why shouldn’t the government set up the lab in Tabora where there is massive volume of honey produced compared to other regions in the country?” In response, the minister said quality assessment of honey products follows the national scale number 851 of 2006.The scale details how the producer, tutor and vendor must consider in the entire value chain of honey business.

He meanwhile assured the MP that the plans are underway to construct a large processing plant in Tabora which will among other things include construction of a lab in the region.
source: http://dailynews.co.tz/index.php/home-news/53602-tabora-honey-fit-for-human-consumption

Kufungia Stori 1

Kila la Kheri watahiniwa Darasa la saba 7 mwaka 2016

Kila la Kheri watahiniwa Darasa la saba 7 mwaka 2016

gongoni-shule-ya-msingi_kwa-hisani-ya-jamiipress-blogspotShule ya Msingi ya Town School iliyopo Tabora karibu na student centre: Picha kutoka Jamii.blogspot

LEO na kesho wanafunzi wa shule ya msingi wa darasa la 7 watakuwa wanafanya mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi. Hatua hii ni muhimu kwa wanafunzi wenyewe na wazazi kwa sababu ndio inayoanzisha mwendo katika maisha ya elimu na maisha ya baadaye ya watoto wetu ambao ndio viongozi wa Jamii na taifa katika siku zijazo.

Uyui inawatakia kila la heri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao leo na kesho. Kule Tabora tunawatakia mtihani mwema shule zote za Tabora hasa shule za msingi zifuatazo, Isevya, Uhuru (HR), Mihayo KiteteMtendeni Isike, Kazembe, Kazehill, (sijui kama bado inaitwa kwa jina hili hadi sasa) Chemchem, Rufita, Kiyungi Gongoni  Town school (sijui siku hizi inaitwaje) na Nyinginezo nyingi katika mikoa mbalimbali ya nchi yetu.

All the best Last year.L.Y

Kufungia Stori 1

Sun Eclipse: How the skyline was… in Dar es Salaam and Moshi

Skyline .. in Dar es Salaam & Moshi

 

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.