Kila la Kheri watahiniwa Darasa la saba 7 mwaka 2016


Kila la Kheri watahiniwa Darasa la saba 7 mwaka 2016

gongoni-shule-ya-msingi_kwa-hisani-ya-jamiipress-blogspotShule ya Msingi ya Town School iliyopo Tabora karibu na student centre: Picha kutoka Jamii.blogspot

LEO na kesho wanafunzi wa shule ya msingi wa darasa la 7 watakuwa wanafanya mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi. Hatua hii ni muhimu kwa wanafunzi wenyewe na wazazi kwa sababu ndio inayoanzisha mwendo katika maisha ya elimu na maisha ya baadaye ya watoto wetu ambao ndio viongozi wa Jamii na taifa katika siku zijazo.

Uyui inawatakia kila la heri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao leo na kesho. Kule Tabora tunawatakia mtihani mwema shule zote za Tabora hasa shule za msingi zifuatazo, Isevya, Uhuru (HR), Mihayo KiteteMtendeni Isike, Kazembe, Kazehill, (sijui kama bado inaitwa kwa jina hili hadi sasa) Chemchem, Rufita, Kiyungi Gongoni  Town school (sijui siku hizi inaitwaje) na Nyinginezo nyingi katika mikoa mbalimbali ya nchi yetu.

All the best Last year.L.Y

Kufungia Stori 1

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: