All the best “the might” Serengeti Boys


U-17 National Team, Serengeti Boys

U-17 National Team, Serengeti Boys

TIMU ya Taifa ya vijana wa umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys, kesho inajitupa dimbani kuchuana na wenzao wa Congo Brazaville katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani.

Sisi wa Uyui tunaitakia kila la heri timu yetu hii ya vijana. Hii pia inatukumbusha enzi ya timu ya Chipukizi pale Tabora ambapo Buruda Damiano wa Mihayo alikuwa akichuwa muda mwingi kushughulika na soka la vijana hasa chipukizi na matokeo yake alitoa wachezaji bora na imara walioliwakilisha taifa. Kila la heri Serngeti boys. Vyovyote iwavyo ninyi ni mashujaa wa taifa letu. kitu cha msingi ni kuishangilia timu yetu mwanzo mwisho na kuhakikisha tunasonga mbele. Kingine ni kuhakikisha kuwa timu hii inadumu. Tunajua hili lina gharama zake, tunajua pia vipo vilabu vitataka kuwavuta vijana hawa ili wasajiliwe na timu zao. ifike mahali tujifunze na tupige hatua kama hii tuliyoanza sasa.
Kufungia Stori 1

Advertisements

One Response to “All the best “the might” Serengeti Boys”

  1. Dr Saidi R S Fundikira Says:

    Umenikumbusha pia timu ya vijana ya “Young Boys” ya miaka ya 60. Humu walikuwemo akina Mweri Simba, Jumanne Simba, Mramba Shaban, Saidi Nassor, Mkangwa Salum, Aden, Faraj Mussa, Mwita Possi (nafikiri kaka wa aiiyekuwa mbunge) na wengine nimewasahau ambao wakisoma Kazima Secondary. Hawa waliji-organize wneywe na uw na timu iliyotikisha hata Railways, iliykua mwamba enzi hizo, Wengine waliendelea na kuchezea timu kubwa zaidi , zikiwemo za Sunlight ya Jimbo la Magharibi , Cosmopolitans ya Dar. Mweri Simba (Mola amrehemu) aliendelea na kuwa beki wa timu ya Taifa kwa miaka mingi sana. Sijui ari ya hivi imepotelea wapi, ingawa nafikiri kusitishwa kwa michezo shuleni kulichangia. Tutafute mbinu za kurejesha mazuri kama hili.


Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: