Uyui: List of Old Buses at Tabora Stand (Light weekend stories-Old school stories)


mabasi-ya-zamani_tabora Tabora ni mji uliozungukwa na mikoa mingi ikiwemo, Katavi, Kigoma, Shinyanga, Singida, Mbeya, Songwe na Rukwa. Tabora pia ilikuwa inapata mabasi yaliyotoka nje ya mikoa na pia yaliyokuwa yanaenda maeneo mbalimbali ndani ya mkoa, tutayataja machache na kama kuna mdau anakumbuka mengine tafadhali tutaomba utupatie. Lengo letu ni kuonesha kuwa Wazee hawa wa Tabora walikuwa wafanya biashara na walikuwa na nia hasa ya kuwekeza katika usafiri. Mabasi yaliyokuwa yanakuja na kuondoka katika stendi ya Tabora iliyokuwa karibu na soko kuu ni pamoja na:
1. TAMOTA– Tambwe Motor transport (Mabasi yake mengine yalikuwa yakienda mpaka Chunya)
2. MPALAYE– Mabasi ya Dk Salum Minsogalya Mpalaye yaliyokuwa yakienda Urambo na Kaliua
3. KILUGWE TENGENEZA CHUMA
4. HAMISI AMBARI
5. IDDI MDACHI (Mabasi yake yalikuwa yakiitwa Punguza na ilikuwepo Punguza namba, 1, 2 nk
6. KASSU BUS SERVICE (Yaliyokuwa yanaenda maeneo mbalimbali ikiwemo Kigwe, Unambewa, Ikongolo nk)
7. SABENA
8. MTOTO GEMA
9. HASANALI
10. MAMLO (Likiwemo basi la Apollo 69) Haya yaliyoka mwisi
11 IGUNGA BUS
12. UMOJA BUS- Kutoka Shinyanga (Enzi za Cooperative Unions)
13. MWANZA BUS– Mabasi ya Singh kutoka Mwanza

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: