Uyui: Dar Excited with New City Train, Tabora Residents Used to Board Over 100 Years


 

Ambao hawajawahi kupanda treni sasa wanaweza kupanda kutoka Stesheni hadi Pugu (Treni ya Mjini)

 

usafiri-wa-treni-wagombewa_-tabora-wana-miaka-zaidi-ya-100-wanapanda-treni

WAKAZI wengi wa jiji la Dar es salaam sasa hivi wameufurahia mno usafiri wa gari moshi kati ya Kituo kikuu cha Treni hadi Stesheni ya Pugu. Treni hiyo iliyoanza safari zake miezi michache iliyopita limekuwa ni nafuu kwa wakazi wengi wa maeneo ya Pugu, Gongo la Mboto, Banana, Ukonga, Uwanja wa Ndege, Kipawa na Vingunguti kwa sababu halina foleni. Kuna watu wamefurahia kupitiliza na kusahau kuwa wakazi wa Mikoa ya Tabora, Kigoma na Mwanza wanao uzoefu wa kupanda treni hilo kwa zaidi ya miaka 100. Wakazi wa Dar es salaam miaka kadhaa ya nyuma walikuwa waliwatania watu wanaokuja na gari moshi kwa kuwaambia gari chuma barabara chuma. Leo hii na wao wanaifurahia huduma hii. Kumbe walikuwa wanatamani ila walikuwa hawajapata fursa. Ngoja tuwatanie kidogo maana hawa wazaramo na wandengereko ni wanetu hawa (watani zetu). Wapo ambao maisha yao yote hawajawahi kupanda treni.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: