Magazetini ya leo tarehe 12 Desemba, 2016 kwa Ufupi


tuongee-magazeti

GAZETI LA MWANANCHI:

# Sababu za kutofikia malengo mwaka 2016: Pamoja na mambo mengine, gazeti hilo limeandika katika ukurasa wa kwanza sababu za watu wengi kutofikia malengo waliyoyaweka katika mwaka 2016. Sababu hizo ni pamoja na kuweka malengo mengi, kukosa muda, kuishi maisha ya kuigiza na kukosa mipango.

GAZETI LA MTANZANIA

#TATIZO la Ugonjwa wa Mtoto wa Jicho. Ugonjwa wa mtoto wa jicho umeonekana kuwa ni hatari zaidi kwa watoto mkoani Dodoma. hayo yamebainika wakati wa zoezi la upimaji wa macho kwa watoto, zoezi lilifanywa kwa ushirikiano kati ya Bilal Muslim na Mheshimiwa Anthony Mavunde (Mbunge) Mbunge wa Dodoma Mjini. Watoto wengi walionekana wana matatizo ya macho kuliko magonjwa mengine

# Manispaa ya Ubungo yakitosa fidia Goba, Manispaa ya Ubungo imesema itatoa fidia kwa wananchi watakao kuwa tayari kutoa maeneo yao kwa ajili ya huduma za jamii na maendeleo.

GAZETI LA NIPASHE

#Biashara ya maduka ya Dar ilivyotishiwa, uchunguzi uliofanywa na gazeti la NIPASHE umebaini kuwepo kwa mtikisiko wa kibiashara kwenye maduka ya vifaa vya nyumbani na nguo Dar es Salaam (hasa Kariakoo)

# Wasira awaka kuzushiwa Cheo, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Mzee Stephen Masatu Wassira amesema taarifa za yeye kupewa cheo katika chama chake CCM zinapaswa kupuuzwa kwa sababu hazina ukweli.

Advertisements

Leave a Reply (Please be decent) Acha ujumbe wako hapa (kuwa mstaarabu)

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.

%d bloggers like this: