Peace, Unit and Solidarity Prevails as the Nation Marks its 55th Independence Anniversary

Happy 55th Independence Anniversary to Our Motherland

uhuru-na-umoja

Our Commentary: Tanzania is a peaceful country that has maintain peace and political stability since its independence in December, 1961 and even before. A gifted land with lovely, friendly and compassionate people who cherishes brotherhood and humanity all the time. A home of great lake and a roof of Africa with its stand alone highest mountain in Africa, Mount Kilimanjaro.  A strong Nation born out  from over 125 diversified tribe that came together and form Very Strong homogeneous social capital Nation with a highest degree of solidarity, endurance and perseverance.

While we mark the 55th Anniversary’s today, we pay tribute to our fore fathers who fought colonialism and laid down solid foundations for solidarity, multi-racial cultures and inter-relational society we cherish today. They call you Tanzania, we call you our motherland, home sweet home. Bongo Land.

Tabora Sky awaits to flag National Carrier Brand new ATCL Bomberdier Q 400

Ndege Mpya 2 ATCL  zazinduliwa 28 Septemba, 2016

NDEGE mpya 2 aina ya Bomberdier Dash 8 Q 400 zimezinduliwa leo tarehe 28 Septemba, 2016 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Habari Zaidi na picha tutawaletea.

THE first of the two Bombardier Q400NG destinated to Air Tanzania are ready to be ferried from the Bombardier assembly plant. The ferry flight is expected to take an estimated 3 days after taking off from Canada on September 16 before the aircraft then lands, tentatively on September 20 in Dar es Salaam International Airport. Tabora Airport is one of the ATCL destination and it is expected that the new flights will be scheduled to land at Tabora Airport as has been the case. Bravo ATCL

bomberdier-atcl

1. Air Tanzania Q 400 with temp reg C-FIFG on final. On 16th September the aircraft was expected to take off for delivery to Tanzania via Malta. Photo by Courtesy of : Frederik K. Larkin Photo

atcl-caption-2

2. Air Tanzania new Bombardier Q400 msn 4492 temp reg C-FHNF. Photo courtesy by:Flickriver

bomberdier-atcl

3. Ndege Mpya ya ATCL ikiwa katika matayarisho ya mwisho kabla ya kuwasili nchini

atcl-2

4. Moja ya Ndege Mpya za ATCL inayotarajiwa kuwasili nchini tarehe 20 Septemba, 2016

Courtsy: http://www.angelfire.com/falcon/african/airtanzania.html

NDEGE hizo aina ya Bimbardier Q 400 zimenunuliwa kutoka Canada ikiwa ni mkakati wa kuliimarisha Shirika la ATCL na usafiri wa anga. Ndege mojawapo (ya kwanza) itakayowasili nchini tarehe 20 Septemba, 2016. Ndege hiyo aina ya Dash 8-Q 400 ina uwezo wa kubeba abiria 70. Kwa mujibu wa Gazeti la Mzalendo la Tanzania, ndege hiyo imeelezwa kama ni ndege ya kizazi kipya yenye gharama nafuu kwenye uendeshaji na ukarabati

 

Uyui: We are still around

Dear all, we are still around, sorry for our deep silence. We are coming up with new issues and more interesting stories about Tabora and other social simple life related issues.
Tafadhali tujulisheni kama kuna kitu ambacho mnaona kinahitaji kuwafikia wengi

Uyui

Uyui: Picha ya Ndege ya iliyopigwa Tabora Miaka 1950

Vickers Viscount Demonstrator G-AMAV Picha hii ilichukuliwa kati Mwezi Machi 1955 na Juni 1957 Mkoani Tabora. Ni picha ya Ndege aina ya Vickers Viscount Demonstrator G- AMAV. Inaonekana ilikuwa katika ziara ya mauzo kutoka Uingereza kwenda Rhodesia ya kusini (ambayo sasa Zimbabwe) na Afrika Kusini) – kumbuka hasa katika picha ya juu kuwa mafuta ya kwenye mapipa haikuwa aghalabu kupatikana Tabora kama inavyooneka.

Picha hizi zilipigwa na Baba wa Colin ambaye ni Marehemu Ken Crossley , aliyekuwa Air Traffic Mdhibiti ( ATCO ) walioajiriwa na Mkurugenzi wa Civil Aviation Afrika Mashariki Services ambaye alikuwa kuwajibika kwa masuala yote ya anga katika Afrika Mashariki kutoka miaka ya 1940 kwa wakati mwingine katika miaka ya 1970 . Yeye alikuwa kikazi katika uwanja wa ndege mpya wa jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 1954 Machi 1955 wakati alipohamishiwa kikazi Tabora na kukaa huko hadi Machi 1957 na tena kutoka huko Machi 1958 na Septemba 1958 wakati alipohamia Zanzibar ambako alikaa hadi Aprili 1960.

Habari hizi ni kwa hisani ya Colin M Crossley – Uingereza

Uyui tunamshukuru sana Colin kwa kutupatia picha na maelezo hayo.

Kufungia Stori 1

Ujiji ya Kigoma Utaipenda

 Tabora na Kigoma ni mikoa pacha yenye uhusiano na muingiliano wa mambo mengi tangu zamani hadi sasa. (picha ya Kapipi J habari)

https://uyui.files.wordpress.com/2013/05/kufungia-stori-1.jpg?w=1042&h=47

Uyui: Tabora kunufaika na mradi wa maji wa shilingi bilioni 1.28

Tanzania, Japan Sign 1,282 Million Shillings Tabora Water Project

 GOVERNMENTS of Tanzania and Japan have signed the exchange of notes for the well drilling and water pipe construction for Rural Water Supply in Tabora Region worth 1,282m /-.Speaking after the signing ceremony, the Minister of Finance, Dr William Mgimwa, said that the project of rural water supply is in line with the aims of the National Strategy for growth and reduction of poverty including improvement of people’s well- being.

“The overall objective of rural water supply project is to improve access of Tabora residents to safe and reliable water, and the success of implementation of this project will contribute significantly to the welfare of beneficiaries and overall development in Tanzania,”Dr Mgimwa said.Dr Mgimwa also assured the government of Japan that the Tanzanian government will conduct close monitoring in order to ensure the design and quality of work meets the acceptable professional standards. “These projects are expected to benefit 20 villages in Tabora region.

The number of people who will have access to clean and safe water in these areas will increase from roughly 7.8 per cent in 2009 to an estimated 48.5 per cent in 2020,” said Mr Masaki Okada, the Ambassador of Japan to Tanzania. Mr Okada said that the grant will be extended and financed through the Japan International Cooperation Agency (JICA), which signed the agreement with the government of the United Republic of Tanzania

You may not be interested with politicking …… fine…but at least take time to follow-up what is being done by Politicians!!!

Japokuwa hufuatilii mambo ya siasa basi angalau ujue wanasiasa wanafanya nini

Model ya Jengo la Chama cha Siasa litakalojengwa Dodoma

Inawezekana kabisa kutokana na shughuli zako za kila siku ukawa huna muda wa mambo ya siasa hasa kwa watu ambao siasa si fani yao. hilo ni sawa. nimeshawasikia rafiki zetu wengi wakisema kuwa wao na siasa ni chui na paka. Sawaaaa pamoja na hayo. Kitu cha msingi cha kujua ni kuwa Siasa ndio inayoendesha mambo karibu yote. Haya tuyaonayo sasa duniani kote yanaanzia kwenye Ilani za vyama, baadaye vyama hivyo vikiingia madarakani hutengeneza Dola na kuanza utekelezaji. Hivyo ni vyema pia kufuatilia wasiasa wanafanya vitu gani hasa kama vitu hivyo vinapokuwa vizuri kama rangi hii ya kijani inavyoonesha.

You may not be interested with politicking …… fine…but at least take time to follow-up what is being done by Politicians!!!

Some of our friends have made it clear before us that they don’t want to engage or attempt politicking!!! we respect that. The same is the case even for Uyui. We have being reaffirming this position now and then. We equally know that its politics that make or keep things going. Things starts with Ideas than documented into menifesto and ultimately implemented through policies, laws, regulations and the like. The most important thing, is at least to follow, appreciate and even become aware of what is being done by politicians irrespective of firm position regarding this subject matter.

Just dont confuse them! they are not beggars

magubike ladies

These are serious entrepreneurs of Magubike village along Dodoma- Dar road, here they are soliciting for a customer to buy raw food products and fruits which they are selling at a go price.

USICHANGANYE MAMBO: HAWA SIO OMBA OMBA NI WAJASIRIAMALI

Kina mama pichani waliozunguka gari hiyo ni wajasiriamali wa mbogamboga na matunda wa kijiji cha Magubike kilichoko katika barabara kuu ya Dodoma Dar es Salaam. Hapa wanamshawishi Mteja aliyeko kwenye gari ili ateremke na kununua moja ya bidhaa wanazouza hapo. Bei zao kwa kweli ni karibu na bure na kijiji hicho kwa sasa kinazidi kujizolea umaarufu na kuwa kituo muhimu kwa magari yote yanayotoka Ddoma au Dar es salaam.

Tabora roads to have new outlook: Mwakyembe

New hopes for Tabora Roads

The Deputy Minister of Works Dr Harrison Mwakyembe (MP) told the parliament today that Tabora mainroads will have a new outlook in two years time following on-going efforts by his Ministry and construction work at the sites. Dr Mwakyembe said, five contractors are on site and the work is in progress. He was responding to a question from Sikonge Member of Parliament for Sikonge Said Mkumba who wanted to know as to when the infrastural problems affecting Tabora especially on roads will be coming to a better situation. Uyui commends the efforts by the Government to give attention to Tabora which apart from being a historical town it is a hub connecting the west

Fuel shortage: the reasons why Tabora opted for bycyles

This might not been comprehendable but Tabora was hitted by a shortage of fuel last week. The scarce of pertroleum product causes long queues to the filling stations as it seen from the picture from Sufiani Mafoto blogspot. To do away with such life Tabora opted to use By-cycles which for years made her people healthier(since they exercises) and further more the maintanance costs is relatively cheaper and affordable to many. Just have a look on the picture and assess the time wastage for other productive endervors.

UHABA WA MAFUTA: CHANZO CHA WAKAAZI WA TABORA KUPENDA BAISKELIUHABA WA MAFUTA: CHANZO CHA WAKAAZI WA TABORA KUPENDA BAISKELI
Hili inawezekana lisieleweke kwa wengi lakini ukwelini kuwa Mji wa Tabora mwishoni mwa juma ulikubwa na uhaba mkubwa wa mafuta haliiliyosababisha misururu mirefu kamailinavyoonekana kwenye picha hii iliyochukuliwa kutoka kwenye blog ya Sufiani Mafoto. Tabora iliamua kutumia baiskelikwa kuepuka tatizo kama hili la kusubiria mafuta kwaajili ya pikipiki. Baiskeli ni nafuu na pia haina gharama kubwa ya kuitunza.Hivi ndivyo wakazi wa mji huu walivyaomua siku nyingi kitambo.picture by courtesy of Kapipi J blogspot.com

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.