Uyui: Magazeti ya Leo 4 February, 2017 (4th February, 2017 Newspapers- Front and Lead Stories)

Magazeti ya leo tarehe 4 February, 2017 (4th February, 2017 Newspapers-Front Pages and Lead Stories)

 

Advertisements

Tanzania News Papers Round-up this Friday 3 February 2016 (Sura za Mbele za Magazeti ya leo)

Magazeti ya Leo  kwa hisani ya Michuzi Blog 

Uyui: Kurasa za Mbele za Magazeti (Front Pages of Today’s Daily Papers in Tanzania)

 

 

 

Magazetini Kurasa za Mbele 21 Desemba 2016 (Front Pages of Tanzania News Papers 21 December 2016)

citizen

championi
daily-news dimba

habari-leo

habari-michezo

homa-ya-jiji

jambo

mtz

mwananchi-michezo

mwananchi

nipashe-michezo

nipashe

raia

tz-daima

uhuru-michezo

uhuru

zanzi-leo

Magazetini ya leo tarehe 12 Desemba, 2016 kwa Ufupi

tuongee-magazeti

GAZETI LA MWANANCHI:

# Sababu za kutofikia malengo mwaka 2016: Pamoja na mambo mengine, gazeti hilo limeandika katika ukurasa wa kwanza sababu za watu wengi kutofikia malengo waliyoyaweka katika mwaka 2016. Sababu hizo ni pamoja na kuweka malengo mengi, kukosa muda, kuishi maisha ya kuigiza na kukosa mipango.

GAZETI LA MTANZANIA

#TATIZO la Ugonjwa wa Mtoto wa Jicho. Ugonjwa wa mtoto wa jicho umeonekana kuwa ni hatari zaidi kwa watoto mkoani Dodoma. hayo yamebainika wakati wa zoezi la upimaji wa macho kwa watoto, zoezi lilifanywa kwa ushirikiano kati ya Bilal Muslim na Mheshimiwa Anthony Mavunde (Mbunge) Mbunge wa Dodoma Mjini. Watoto wengi walionekana wana matatizo ya macho kuliko magonjwa mengine

# Manispaa ya Ubungo yakitosa fidia Goba, Manispaa ya Ubungo imesema itatoa fidia kwa wananchi watakao kuwa tayari kutoa maeneo yao kwa ajili ya huduma za jamii na maendeleo.

GAZETI LA NIPASHE

#Biashara ya maduka ya Dar ilivyotishiwa, uchunguzi uliofanywa na gazeti la NIPASHE umebaini kuwepo kwa mtikisiko wa kibiashara kwenye maduka ya vifaa vya nyumbani na nguo Dar es Salaam (hasa Kariakoo)

# Wasira awaka kuzushiwa Cheo, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Mzee Stephen Masatu Wassira amesema taarifa za yeye kupewa cheo katika chama chake CCM zinapaswa kupuuzwa kwa sababu hazina ukweli.

Uyui Magazeti ya Leo (Newspapers Round-up)

citizen

Courtsey of Michuzi Blog Matukio

Uyui: News Papers Round-up (Magazeti ya Leo)

   http://kamerayangu.blogspot.com/2016/12/magazeti-ya-leo-tz-na-njedec-6.html

mwananchi-6-december-2016

Magazeti  ya leo kutoka kalamu yangu blog  http://kamerayangu.blogspot.com/2016/12/magazeti-ya-leo-tz-na-njedec-6.html

 

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.