Uyui: Weekend light Stories and Old Schools

Jinsi Maisha Yalivyo Mafupi yenye Mambo Mengi, Hivi kuna haja kweli ya kuzua Malumbano Jamani?

Maisha ni mafupi: Ya nini kugombana?

life is too short, compacted and no ample time for busy people. with all these around, including work, family and spiritual life do you thing you have time to pick quarrels with others on issues of perspectives!!! Good morning.

Advertisements

Welcome “karibu” to Tabora (Mboka or Kazeh) and to Uyui- by Maganga Feruzi

The map of Tabora Tanzania, Mboka or Kazeh (magangaferuzi@gmail.com)

Thanks for visiting this site and you will never regret.Welcome to this wonderful and informative site of Uyui. Uyui is at the heart of Tabora Region (Young Generations called it- MBOKA and Elderly they used to KAZEH) in the western part of the United Republic of Tanzania. Not many people are aware of its beauty and the compassionate of its people. The Wanyamwezi, a popular tribe whose people are lovely and full of aptical culture that is demonstrated by their simple life. Wanyamwezi are the local residents of Tabora.Karibu (welcome) to Uyui so that you can learn the untold story and the wonderful lifestyle of Wanyamezi Tribe (Wanyanyembe, Wakonongo, Wasumbwa etc).

Write to us magangaferuzi@gmail.com  tuandikie magangaferuzi@gmail.com

Kufungia Stori 1

Uyui: Do you remember Kiwere saw mills? if not just read this from Roomina

Wow I stumbled across this site while searching for Kiwere Sawmills. My grandfather started the business and my dad and his brothers took over when he passed away. My family was very well known in Tabora in those days. Unfortunately, we left Tabora in Nov 1975.

How we all still mis home. It’s been 40 years but Tabora is still our home and in our hearts.

My brother and I both went to Uyui, he was in form 2 and I was in form 1 when we left. Some of my classmates were Tabrez, Safeer, Munisha , Saida and Priti. I’ve met Tabrez and have Munisha on my FB. Would love to know where the rest are.

I remember Amiri’s mogo (may his soul rest in eternal peace ) and I remember the stadium. My brother used to go there to watch the games. His favorite team was Simba.

Really miss those days

 

 

Uyui: Former Tabora MP Siraju Kaboyonga Died at 64

Msiba Mzito waigubika tena Tabora. Yapoteza Mmoja wa Mashuja wake Muhimu Mzee Siraju Kaboyonga..

Mbunge wa Zamani wa Tabora Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Mbunge wa Zamani wa Tabora Siraju Kaboyonga afariki Dunia

Mbunge wa Zamani wa Tabora (2005-2010) Mzee Siraju Juma Kaboyonga amefariki Dunia. Mheshimiwa Siraju alikuwa Mwanazuoni, Mwekezaji na mdau wa maendeleo ya Tabora, na pia mwanafunzi wa Kazima Sekondari(miaka ya 1960 mwishoni). Anatazamiwa kuzikwa leo katika makaburi ya kisutu Jijini Dar es salaam.Machozi na vilio vimetanda Mji wote wa Tabora. Inna Lilahi Waina Ilaihi Rajiuun.

Uyui: Hallo and A very Goodmorning with Sun Shine From Mithali in Pemba Island, Zanzibar

Taswira ya Mawio ya Jua Kisiwani Pemba: Ulishawahi Kufikiria kuwa Hali huwa kama hivi Asubuhi?

Sun Shine at Mithali, Pemba Island

A very cool morning at Pemba

Uyui: How would you assist this boy to realize his dream of becoming a president?

How would you help this boy to realize his dream of becoming a president??

Presidental aspirant

I don’t know how I got this picture, but the most important thing here is whether one has a dream or not. Sometimes people do not realise their dreams simply because they have not even dreamed to have those dreams. This young Boy has a dream (where improvised or self), it doesn’t matter, the matter is to what extent if you are extend your support, how would you help him to realized his dream. For us Uyui, we thought he should first be given opportunity to attend a formal quality education then other things will follow.

Unamsaidiaje huyu dogo kutimiza ndoto yake ya kuwa Rais!!!

sijui niliipate hii picha, lakini nilipoiona katika blog ya John Badi nikapata picha ya kwanini baadhi yetu hatumizi kile tunachotaka. Pengine kitu tunachokosa ni ndoto yenyewe. Hatujaota tunataka nini? Dogo huyu anayo ndoto, anataka kuwa Rais, sijui Rais wa chama cha wanafunzi, au wa ndondi lakini anataka Urais inawezekana ameandikiwa au ni mawazo yake. Kwa vyovyote iwavyo, Dogo huyu anastahili kusaidiwa. Kwa maoni yetu sisi kama Uyui, tunaona kuwa Dogo anastahili kwanza kwenda shule na apate elimu bora halafu mambo mengine yatafuata baadaye. Ndoto zina changamoto zake, ukiwa na ndoto ya kuwa katika eneo ambalo nafasi yake ni moja tu, pia ukubali matokeo ya kupata au kukosa. Duniani hapa kuna makundi mawili, Sisi kama Uyui tunashauri wadau wetu kuota kundi moja tu kundi hilo ni kufanya kazi. kundi hili lina watu wachache na halina ushindani na waotaji wake ni wachache mno. Kijana anaeota urais ajiandae hasa maana huko waotaji wake wako wengi kweli!!!

Uyui: What a news! Tabora Airport to be tarmacked

Habari njema:Uwanja wa Ndege wa Tabora unawekewa lami.

 

Tabora airport strip is under major improvements. The  work is in progress as you can see in the picture. It is not about the work itself as such, but the hope and expectation of resumption of awaited flight services to/from Tabora.

  

Uwanja wa ndege wa Tabora kwa sasa unakarabatiwa kwa njia za kurukia na kutulia ndege kuwekewa lami. Hii ni habri njema za kuleta matumaini ya kurejea kwa huduma zinazosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa.

                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                             Anga la Tabora kufunguka baada ya ukarabati wa uwanja wa ndege.

 Kazi ya kukarabati uwanja wa ndege wa Tabora (Picha kutoka blog ya Juma Kapipi) italifungua anga la mji huo na kufanya Tabora kufikika kwa kutumia usafiri wa anga, gari moshi (treni) na pia kwa barabara zinazoingia mkoani humo kutokea Mikoa ya Katavi, Shinyanga, Singida, Kigoma na Mbeya.

 

On going construction work of tarmacking Tabora airstrip is in progress (Picture by Juma Kapipi Blog). The work will ultimately reopened up the sky of Tabora and make the Municipal more accessible through airways, railways and by roads from Katavi, Shinyanga, Singida, Kigoma and Mbeya Regions. 

 

 

 

 

 

 

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.