Maulid Nabawiya: Peace, love and Joy

Look at the green dome from the Holly Prophet Mosque at Madina. Green symbolize peace, love and joy. In this very special day, Uyui convey its sincere greetings to all moslem for the commemoration of the birth of Prophet Muhammad (P.B.U.H). In Tabora Maulidi was being celebrated at Mnarani ground and thereafter to Fundi Rumaza zawiyat, then to Khalifa Mohammed, Choma choma and Shaabani Feruzi at Utusi street in Tabora.

Liangalie Kuba la kijani katika msikiti mtukufu wa Mtume Muhammad (S.A.W). Rangi ya kijani inaashiria upendo, amani na faraja. Uyui WordPress inachukua fursa hii kuwatakia Maulidi njema waislamu wote duniani. Uislamu ni amani hiyo ni muhimu amani hivyo ionekane kwa vitendo. Katika Mji wa Tabora au Mboka Maadhimisho ya Maulidi yalikuwa yanafanyika katika viwanja vya Mnarani na baadaye katika Zawiya za Fundi Rumaza, Khalifa Mohammedi, Ramadhani Choma Choma

Uyui

A website about Uyui, Tabora heritages and the Wanyamwezi

Shahermohd's Blog

Just another WordPress.com site

WordPress.com

WordPress.com is the best place for your personal blog or business site.