Jimmy Milton Mugambo of Tabora
Original and born in Tabora Tanzania…Nyamwezi! Jimmy lived at one of the then famous Street. He attended Mbugani Primary which is at the western part on the town then Uyui secondary…left 1977 Tabora heaven on earth and now he is in the UK.
Those who watched a famous Indian Movie by the name of Mr. India with Amrish P. they know very well Mugambo.
Uyui appreciate how Jimmy informed me about the Tabora network. Jimmy is among the few who appreciate their roots and are proud of it. Hongera sana.
Find jimmy at his face page http://www.facebook.com/jimmy.mugambo
Kutana na Jimmy Milton “Mugambo” Bosi wa kivyake vyake.
Kiasili amezaliwa Tabora Tanzania….. Mnyamwezi!. Jimmy ameishi mtaa moja ya mtaa maarufu wakati huo. Amepata masomo yake ya msingi katika shule ya Mbugani ambayo iko Magharibi ya mji, baadaye akajiunga na shule ya Sekondari ya Uyui….. Mwaka 1977 akaondoka tabora “Pepo ya dunia” na sasa anaishi UK (United Kingdom).
Kwa wale walioiona filamu (sinema) ya Mr India iliyochezwa na Amrish P. watakuwa wanamjua vyema Mugambo.
Uyui inashukuru kwa namna Jimmy alivyotufahamisha kuhusu mtandao wa Tabora. Jimmy ni mmoja wa watu wachache ambao wanathamini asili yao na wanajivunia sana. Congraturations.
Mtafute Jimmy katika ukurasa http://www.facebook.com/jimmy.mugambo